Tunaomba kujulishwa mradi wa power tilla umeishia wapi?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wanabodi mimi nikiwa mdau wa kilimo nilshuhudia jinsi serikali yetu tukufu ya ccm ilivyo simamaia kidete kwa kuzilazimisha halmashauri kununua power tilla kwa madai ya kuongeza tija kwenye kilimo,lkn leo hii mradi huo umesahaulika kabisa utadhani zile fedha zilizo nunulia hayo ma power tilla zilikuwa ni za viongozi wa serikali ya ccm
 
The Africans!
 
Nashindwa kuelewa pale mtanzania anapolinganisha shughuli za chama cha upinzan na zile Za serikal iliyopo madarakan
 
Inasemekana kuwa 1. Power tiller iligeuka usafiri wa kubebea mizigo tu (news media zilionyesha), 2. power tiller ilishindwa kuhimili baadhi ya aina ya udongo.

Ungekuwa makini na mtafiti ungefuata taarifa sahihi katika chanzo sahihi. Humu hamna manager wa huo mradi atakayekupa taarifa sahihi. Kama unataka porojo sawa.
 
Mmemaliza propaganda za Dangote mmeangukia pua sasa mmerukia huku. Hahahah. Hivi mnalipwa kiasi gani cha kuwafanya muutupilie mbali uzalendo wenu. Tunajua pesa za mafisadi zinavyotumika.
 
Inasemekana kuwa 1. Power tiller iligeuka usafiri wa kubebea mizigo tu (news media zilionyesha), 2. power tiller ilishindwa kuhimili baadhi ya aina ya udongo.

Kiujumla pale fedha za watanzania zimipigwa kimtindo kama zile za speed gavana
 
Ungekuwa makini na mtafiti ungefuata taarifa sahihi katika chanzo sahihi. Humu hamna manager wa huo mradi atakayekupa taarifa sahihi. Kama unataka porojo sawa.
Naona wewe ni mgeni kwenye hili jukwaa kwani kuna wataalam wa kila aina,pole sana ndugu
 
Mmemaliza propaganda za Dangote mmeangukia pua sasa mmerukia huku. Hahahah. Hivi mnalipwa kiasi gani cha kuwafanya muutupilie mbali uzalendo wenu. Tunajua pesa za mafisadi zinavyotumika.
Jibu swali wacha kurukaruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…