Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,842
Ovyo = HovyooUswahilini kwenu ndio pa ovyooooo
Unajua ninapoishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ovyo = HovyooUswahilini kwenu ndio pa ovyooooo
Unapajua ?
Uswahilini ni mahala pa hovyo kuishi.
Kunaharibu Akili, Saikolojia, Afya ya mwili na hata Tabia hasa kwa watoto
Mtoto akizaliwa tu anapevuka hapohapo
Serikali inapaswa izingatie ujenzi bora na kusambaza huduma za kijamii mbali na maeneo yenye idadi kubwa ya watu ili watu wengine wahamie huko.
Pia iboreshe miundo mbinu na makazi yaliyopo sasa kama sewage system, barabara na maeneo ya soko.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Sijapata kuona Eneo au mahali panashusha heshima ya mtu Kama Uswahili I[emoji849].Nashukuru Mungu nimeachana nako naishi kwangu Mappings Satellite City. Eneo penye watu wanaojielewa Wasomi na timetakers.
Sehemu gani hiyo mkuuSijapata kuona Eneo au mahali panashusha heshima ya mtu Kama Uswahili I[emoji849].Nashukuru Mungu nimeachana nako naishi kwangu Mappings Satellite City. Eneo penye watu wanaojielewa Wasomi na timetakers.
raha gani?..ila si masihara maisha ya uswahilini kwetu full chuo,nice adventure kuna raha zake bhana kuishi iswahilini ni chuo tosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] solution ni kujenga kamjengo kako tuUswahilini ni sehemu za hovyo sana tena ni watu changanyikeni,unakuta mpangaji mmoja anawasha litiivii lake la hitachi lile la chogo,anaweka movie za kutafsiriwa tena kwa sauti mpaka level ya mwisho kupelekea noise pollution.. Au unakuta mtoto wa mama mwenye nyumba muda wote anakuganda wewe mpangaji mpaka unashindwa kufanya mambo yako vizuri, muda mwingine kama ni mdogo anaweza kujinyea ndani kwako na mama ake haji kuzoa nnya daah [emoji23][emoji23]
Kabisaaa mkuu,solution ni hiyo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] solution ni kujenga kamjengo kako tu