Tunaokaa Uswahilini Tuache Hizi Tabia Zinakera Sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
  1. Mtu Muda Wote Amekaa Na Choo Anakiona Lakini Haendi Na Akikuona Tu Wewe Umetoka Chumbani Kwako Na Kopo Lako La Maji Unaenda Chooni Kujisaidia Haja Kubwa Na Tayari Umeshaingia Upo Ndani Unaanza Kushusha " Block Busters " Zako a.k.a Ze Kimbaz Mara Unamuona Na Yeye Anakuja Na Kopo Na Kukugongea Mlango.
  2. Mtu Umeanika Tu Chupi Yako Kambani au Dirishani Utakuta Watu Wanaikodolea Mimacho Na Kuanza Kuiwekea Vikao Visivyo Rasmi Chupi Yako Na Kuijadili Utadhani Wanaivaa Wao.
  3. Unakuta Mtu Muda Wote Bafu Analiona Na Liko Tupu Amekaa Tu Lakini Ukisema Tu Unataka Kwenda Kuoga Basi Utamwona Haraka Sana Anaamka Pale Alipo Na Kwenda Kuchukua Nguo Chafu Ndani Mwake Na Ndoo Na Kuja Kuzimwaga Mule Bafuni Na Kuanza Kufua.
  4. Unakuta Watu Wamekaa Zao Vizuri Tu Barazani Wanaongea Lakini Wakikuona Tu Umetoka Kuelekea Chooni Na Hasa Hasa Wakikuona Umebeba Kopo La Maji Unaona Ghafla Kikao Kinabadilishwa Venue Ambapo Sasa Watahamia Kuja Kukaa Ule Ule Usawa Wa Chooni Kilipo Huku Wakiguna Na Kucheka Kichinichini Na Ukitoka Utasikia Wanajifanya Kama Vile Walikuwa Hawajui Upo Chooni Mule Na Kujibalaguza.
  5. Mpo Nyumba Za Kupanga Na Wengi Lakini Kwa Makusudi Tu Yeye Na Mke Wake Wanaacha Kufanya Mapenzi Yao Chumbani Kwao Na Wanaenda Kufanya Ngono Chooni / Bafuni.
Jirekebisheni Mnatutia Tu Hasira.
 
Uswahilini ni mahala pa hovyo kuishi.

Kunaharibu Akili, Saikolojia, Afya ya mwili na hata Tabia hasa kwa watoto

Mtoto akizaliwa tu anapevuka hapohapo

Serikali inapaswa izingatie ujenzi bora na kusambaza huduma za kijamii mbali na maeneo yenye idadi kubwa ya watu ili watu wengine wahamie huko.

Pia iboreshe miundo mbinu na makazi yaliyopo sasa kama sewage system, barabara na maeneo ya soko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya Uswahilini??

Acha ku-generalize mambo.., Zungumzia mtaa wako (Mfano; M/nyamala kwa kopa).
 
Uswahilini ni mahala pa hovyo kuishi.

Kunaharibu Akili, Saikolojia, Afya ya mwili na hata Tabia hasa kwa watoto

Mtoto akizaliwa tu anapevuka hapohapo

Serikali inapaswa izingatie ujenzi bora na kusambaza huduma za kijamii mbali na maeneo yenye idadi kubwa ya watu ili watu wengine wahamie huko.

Pia iboreshe miundo mbinu na makazi yaliyopo sasa kama sewage system, barabara na maeneo ya soko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata kuona Eneo au mahali panashusha heshima ya mtu Kama Uswahili I🙄.Nashukuru Mungu nimeachana nako naishi kwangu Mappings Satellite City. Eneo penye watu wanaojielewa Wasomi na timetakers.
 
Uswahilini ni mahala pa hovyo kuishi.

Kunaharibu Akili, Saikolojia, Afya ya mwili na hata Tabia hasa kwa watoto

Mtoto akizaliwa tu anapevuka hapohapo

Serikali inapaswa izingatie ujenzi bora na kusambaza huduma za kijamii mbali na maeneo yenye idadi kubwa ya watu ili watu wengine wahamie huko.

Pia iboreshe miundo mbinu na makazi yaliyopo sasa kama sewage system, barabara na maeneo ya soko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uswahilini kwenu ndio pa ovyooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom