Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Nakuona ulivyokimbia pmKumbe tunavuta oxygen moja
Nakuona ulivyokimbia pmKumbe tunavuta oxygen moja
Oky Leo twende Cape Town usku tukaparty***** m mbona nipo kitambo hujawai kunipeleka umekuwa mtu wa kunidesh dadek
Hahahaha nakuja kweliNakuona ulivyokimbia pm
Yes safi Sana afu capetown ni karibu sana na kwangu ukichoka unalala kwanguOky Leo twende Cape Town usku tukaparty
Alafu Nikilala kwakoYes safi Sana afu capetown ni karibu sana na kwangu ukichoka unalala kwangu
Wewe hujataja uko ofisi gani ila unataka wenzako wataje.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini katika wizara mojawapo Nimehamishiwa kwenye mji mkuu wa Dodoma. Ofisi zetu zipo huku Udom.
Kama nawe ni mmoja wa wahamishiwao mjini Dodoma.
Tukutane hapa Kwa kujitanabaisha kwamba umetokea taasisi ipi na ofc yako ipo wapi.
Nawakaribisha Sana.
Si ukilala unalala tunalalaAlafu Nikilala kwako
kesho tunaanka kila mtu njia yake mpaka time nyinginePole sana tukula bata kulala kwenuSi ukilala unalala tunalala![]()
kesho tunaanka kila mtu njia yake mpaka time nyingine
Utakulaje bata afu urudi kwenu unanuka pombe uwape shida ndugu zako kukufungulia si bora tuunganishe mpka keshoPole sana tukula bata kulala kwenu
One way hiyo mkuu.....miss sana hizo mitaa zanguKaribu barabara ya 6,7,8,9,10 na 11 hapo ndipo huduma zote utazipata
Karibu Dodoma Kama Unapenda bata usiache kunicheki Popote utakapotaka nitakupelekaaaa
we bata tu?Watakuibia mke kama Bata unafikiria kumpeleka kula vumbi ndugu ndio unaita bataDodoma kuna bata ndogo ndogo za kutoshaa. Hongera kwa uhamisho mkuu. SGR ikikamilika ntakuwa nakuja na mke wangu kuspend wk emd Dom.
Upatikanaji wa nyumba za kupanga upoje hapo Dom. Niunganishe na wapangishaji tafadhali.Karibu Dodoma Kama Unapenda bata usiache kunicheki Popote utakapotaka nitakupelekaaaa
Mm bata tu mengine kwenu![]()
![]()
we bata tu?
Utanipm nikutajie maeneo ambayo unhitajiUpatikanaji wa nyumba za kupanga upoje hapo Dom. Niunganishe na wapangishaji tafadhali.
Naomba unitembeze mji wa Dodoma mwezi ujao nakujaMm bata tu mengine kwenu