Tunaohamia Dodoma tukutane Hapa

Tunaohamia Dodoma tukutane Hapa

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
552
Reaction score
544
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Mimi ni mwajiriwa wa serikalini katika wizara mojawapo Nimehamishiwa kwenye mji mkuu wa Dodoma. Ofisi zetu zipo huku Udom.

Kama nawe ni mmoja wa wahamishiwao mjini Dodoma.

Tukutane hapa Kwa kujitanabaisha kwamba umetokea taasisi ipi na ofc yako ipo wapi.

Nawakaribisha Sana.
 
Na wewe umetokea taasisi ipi na hapo Udom ofisi yenu pekee ndio ipo karibu na chuo au unatugeresha
 
Dodoma kuna bata ndogo ndogo za kutoshaa. Hongera kwa uhamisho mkuu. SGR ikikamilika ntakuwa nakuja na mke wangu kuspend wk emd Dom.
 
Nipo hapa mnadani Area,weekend imetulia kipande hii
 
Karibu barabara ya 6,7,8,9,10 na 11 hapo ndipo huduma zote utazipata
 
Nipo hapa mnadani Area,weekend imetulia kipande hii
Kabanda kangu ka biashara kapo hapo hapo mnadani kushoto kwako kama unarudi mjini, ila kwa sasa nimefunga karibu sana kila Jumamosi nakuja chukua paja la mbuzi na mbavu zake nachemsha supu, nimepapenda sana siondoki
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Mimi ni mwajiriwa wa serikalini katika wizara mojawapo Nimehamishiwa kwenye mji mkuu wa Dodoma. Ofisi zetu zipo huku Udom.

Kama nawe ni mmoja wa wahamishiwao mjini Dodoma.

Tukutane hapa Kwa kujitanabaisha kwamba umetokea taasisi ipi na ofc yako ipo wapi.

Nawakaribisha Sana.
Karibu dom mkuu..ila watch out,huu mji haujaombewa siku nyingi...una vishawishi..ikiwezekana uje na mamiloo.
 
Back
Top Bottom