Tunanunua mafuta ya Mise

Al Adawy

Member
Apr 15, 2017
12
8
Baada ya muda mrefu kwa kampuni yetu ya AL ADAWY INDUSTRIES kuwa imesimama shughuli zake za uzalishaji wa Sabuni za miche, sasa kampuni hii itaanza shughuli zake rasmi kuanzia mwezi wa sita 2017.kwa yeyote mkazi wa Mbeya na Kigoma tunakupa fursa ya kuuza mafuta ya Mise yanayotumika kutengeneza sabuni za miche maarufu kama sabuni za kigoma katika kampuni yetu.

NB: Tuma kwa njia ya private message(PM) jina kamili, mahali ulipo, bei ya mafuta, na namba ya simu kwaajili ya mawasiliano

Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom