Tunamuhitaji Paul Makonda aje Jimbo la Nyamagana

Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
Hivi unakijua unachokiongea ww???
Unatumia kiungo gani kuwaza hayo maswala yako?
 
Kwa hiyo mnataka aje kugombea kwa sababu ni mzaliwa wa Mwanza au una sababu nyingine,ila kama sababu ni hii umeanza kufeli mapema sana,kuna mambo hutakiwa kuyasema katika ulingo wa kisiasa,ulingo wa siasa ni kama ngumi za kulipwa,ukikosea unapigwa pasipo kutarajia.
 
Nimchapakazi
 
Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
Ameshaambiwa na Katibu Mwenezi atulie kwanza amalize kazi ya ukuu wa mkoa, la sivyo akijipendekeza kujaza fomu wanajua la kufanya
 
Hatuwezi kuwa na mtazamo sawa ila kiukweli kijana anajituma Sana katika kutatua changamoto, big up Mh Paul makonda
 
Back
Top Bottom