PreGE2025 Tunamsihi Lissu akubali matokeo yoyote

PreGE2025 Tunamsihi Lissu akubali matokeo yoyote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo. Tujenge chama
majira ya mtu ya kuinuka yakifika hakuna wa kuweza kuzuia, na haya ni majira ya Tundu lisu yanavyosoma. ushindi wake hauzuiliki na chochote wala yeyote.kila mtu atamtaka na ukimuuliza atakwambia hakuna kama yeye.
 
Lile jambo alilolisema kwenye kikao cha kamati kuu na likarekodiwa ndiyo Lisu atalimwaga hadharani.
So what. Atalimwaga akiwa Mwanachama wa kawaida. Mheshimiwa Mbowe atakua busy
 
Wajumbe lissu anatakiwa pata kura zisizopungua kura 700-800, zinazobaki mbowe zinamtosha
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki Lissu anashinda mapema sana.
 
Back
Top Bottom