Binafsi naona tangu Pay tv kuja ime adhiri pakubwa sanaa
Nikupe mfano zaman wakati tupo ktk mfumo wa Digital, ezi games za Euefa CL ITV walikuwa wana rusha free, na wadau wengi sanaa walikuwa wana tazama hizi games kupitia ITV, baadae channel ten na wao wakawa wana rusha EUFA CL enzi izo Cyprian Musiba ana chambua soka na akina Ores kawau lkn kwa sasa izi vituo ata kurusha WC 2022 qualifying games hawawezi ...
Pengine naona contents nyingi sasa zimepelekwa ktk izi Pay tvs ili na wao wauze, zaman Itv walikuwa mabingwa wa kurusha maigizo lkn ss iv hawa watu wa pay tv yaan wao ndio wana fanya mpaka msanii anaibuka na li tmthilia hata alieleweki ila ilimradi tu apeleke content apewe pesa na iyo tv ijaze show