Tunamiss nini kwenye TV na Radio za Bongo, Maudhui gani tunayakosa?

PopoMlalafi

Member
Nov 5, 2021
61
76
Wadau kuna vipindi kibao vya radio na Tv ningependa kujua au tuweze kushea vitu Gani Industry yetu ya media inamiss? Hasta upande wa vipindi bya radio na Tv maana vingi vinafanana.

Ni mimi ndugu yenu PopoMlalafi ambae ni memba mpya humu japo jf Nina karibia miaka kumi. Nakaribisha maoni.Ninaiheshimu sana hii maktaba ya JF Hakika ni Hazina.

Naomba kuwasilisha.
 
Binafsi naona tangu Pay tv kuja ime adhiri pakubwa sanaa

Nikupe mfano zaman wakati tupo ktk mfumo wa Digital, ezi games za Euefa CL ITV walikuwa wana rusha free, na wadau wengi sanaa walikuwa wana tazama hizi games kupitia ITV, baadae channel ten na wao wakawa wana rusha EUFA CL enzi izo Cyprian Musiba ana chambua soka na akina Ores kawau lkn kwa sasa izi vituo ata kurusha WC 2022 qualifying games hawawezi ...

Pengine naona contents nyingi sasa zimepelekwa ktk izi Pay tvs ili na wao wauze, zaman Itv walikuwa mabingwa wa kurusha maigizo lkn ss iv hawa watu wa pay tv yaan wao ndio wana fanya mpaka msanii anaibuka na li tmthilia hata alieleweki ila ilimradi tu apeleke content apewe pesa na iyo tv ijaze show
 
Nakubaliana na wewe chief! Umeongea kitu kikubwa
 
Content za lugha ya kimalkia zinakosekana kwa radio zetu Bongo.Napenda sana kusikiliza radio za jirani zetu Kenya HBR,kiss FM,NRG e.t.c
 
Kweli Mkuu tunamiss Content za lugha hiyo inapaswa percent flani Media zetu zizingatie hilo
 
Binafsi naona tangu Pay tv kuja ime adhiri pakubwa sanaa

Nikupe mfano zaman wakati tupo ktk mfumo wa Digital, ezi games za Euefa CL ITV walikuwa wana rusha free, na wadau wengi sanaa walikuwa wana tazama hizi games kupitia ITV, baadae channel ten na wao wakawa wana rusha EUFA CL enzi izo Cyprian Musiba ana chambua soka na akina Ores kawau lkn kwa sasa izi vituo ata kurusha WC 2022 qualifying games hawawezi ...

Pengine naona contents nyingi sasa zimepelekwa ktk izi Pay tvs ili na wao wauze, zaman Itv walikuwa mabingwa wa kurusha maigizo lkn ss iv hawa watu wa pay tv yaan wao ndio wana fanya mpaka msanii anaibuka na li tmthilia hata alieleweki ila ilimradi tu apeleke content apewe pesa na iyo tv ijaze show
Umeongea Madini San Mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom