Tunalilia Wananchi watuone "live" tukizomea!!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Baada ya kukosa hoja za msingi kuhusu utendaji wa Serikali, na baada ya kuona kwamba tumeachana na Sera yetu ya Ufisadi iliyotubeba nyakati zile na kutupatia umaarufu, TUMEJIULIZA TUTATOKAJE?

Tumepata jibu kwamba angalau basi wananchi watuone tukizomea na kupiga kelele kama siku ya uzinduzi wa Bunge kwa kuimba kama vyura" Maalim Seif, Maalim Seif, Maalim Seif na hatimaye kutoka ndani ya Bunge. Tukaja kudai kujadili hotuba ya Mheshimiwa Rais "live" ingawa hatukuishuhudia Bungeni maana tulikimbilia Mnadani kula nyama siku ile!

Hawa Serikali mbona wanatubania sana sisi na sasa hatusikiki kabisa?? Au wamedhamiria wananchi watusahau kwa porojo zetu za kupinga hata Ukweli? Ndio maana sasa tunalianzisha kwa kutetea Majipu kwa kisingizio cha haki za Binadamu!! Kutetea Watumishi wazembe kwa kisingizio cha Sheria na taratibu kuzingatiwa, kutetea wakwepa kodi kwa kisingizio cha kwamba wanaoonewa ni wanachama wetu!! ACHA TULIANZISHE MAANA HATUNA UMAARUFU TENA!! PIPOOOOOZ! PAWAAAAAAAAAAAAAA!!
 
Kwa hiyo ulitaka hadi unapofanyika ushenzi watu washangilie kwa nderemo na vifijo? Mbona sisi wastaarabu, kuna mabunge ya mataifa yaliyoendelea sana tu wakizinguana ni ngumi tu na zinaruka live.
 
Baada ya kukosa hoja za msingi kuhusu utendaji wa Serikali, na baada ya kuona kwamba tumeachana na Sera yetu ya Ufisadi iliyotubeba nyakati zile na kutupatia umaarufu, TUMEJIULIZA TUTATOKAJE?

Tumepata jibu kwamba angalau basi wananchi watuone tukizomea na kupiga kelele kama siku ya uzinduzi wa Bunge kwa kuimba kama vyura" Maalim Seif, Maalim Seif, Maalim Seif na hatimaye kutoka ndani ya Bunge. Tukaja kudai kujadili hotuba ya Mheshimiwa Rais "live" ingawa hatukuishuhudia Bungeni maana tulikimbilia Mnadani kula nyama siku ile!

Hawa Serikali mbona wanatubania sana sisi na sasa hatusikiki kabisa?? Au wamedhamiria wananchi watusahau kwa porojo zetu za kupinga hata Ukweli? Ndio maana sasa tunalianzisha kwa kutetea Majipu kwa kisingizio cha haki za Binadamu!! Kutetea Watumishi wazembe kwa kisingizio cha Sheria na taratibu kuzingatiwa, kutetea wakwepa kodi kwa kisingizio cha kwamba wanaoonewa ni wanachama wetu!! ACHA TULIANZISHE MAANA HATUNA UMAARUFU TENA!! PIPOOOOOZ! PAWAAAAAAAAAAAAAA!!

hacha ujinga wako, huu ni muhimili mwingine mkuu, lazima tujuzwe kinachojiri bungeni kwani sisi ndo tunafinance na wala ela hii haitoki ccm, hata wewe unakatwa ili kufinance ili jukumu unless unambie wewe ni kula kulala
 
Back
Top Bottom