SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,110
- 75,567
[emoji3] [emoji3] [emoji3]weka picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji116]Niliwahi kuyafakamia haya majitu kule New Orleans. Yalikuwa yanawekwa kwenye supu asubuhi. Mpaka leo aliyekuwa akinipikia sisalimiani naye!
Mshana wacha hizo naogopa BAN
duhhhhhhhhhhhhhh, kakulisha iaseeeeeNiliwahi kuyafakamia haya majitu kule New Orleans. Yalikuwa yanawekwa kwenye supu asubuhi. Mpaka leo aliyekuwa akinipikia sisalimiani naye!
Ipo imani kuwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume. Ni kweli? Au yanatumika pia katika uchawi? Haiwezekani King of Msata ufakamie kilo tano bila sababu.Mchezo umeisha kilo 5 kwishney View attachment 421453
Hahhahahaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] leme reserve my comment utasababisha konokono waishe baharini BTW huo mzigo wa kilo 5 nyama yake haifiki kiloIpo imani kuwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume. Ni kweli? Au yanatumika pia katika uchawi? Haiwezekani King of Msata ufakamie kilo tano bila sababu.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] eti wachagaUkituletea sisi wachagga ujinga kama huo ni tunakupa kelebu za kutosha na mbata mpaka ufe
Nani wa kuharisha kwa kula konokono?
Chakula ya kwetu hiyo... Nani kaichezea hapo[emoji102] [emoji15] utaharisha mpaka maji uite aaaaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwahi kuyafakamia haya majitu kule New Orleans. Yalikuwa yanawekwa kwenye supu asubuhi. Mpaka leo aliyekuwa akinipikia sisalimiani naye!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uikute imechacha sasa...........sio kama maharage mjue[emoji14]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] acha kabisa hiyo kitu mchemsho wake wala huwezi jua kama ni chatu au cobra utafikiri ni samaki changu kasoro harufuMshana jr hii unakulaga?View attachment 421518