Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jun 10, 2012 #21 Hatimaye leo TBC wamejitutumua na kuonyesha Mpira lkn na mapungufu lukuki kama kawaida,kwanza wakijiunga late na pia hata quality yenyewe ilikuwa very poor siyo kama kipindi kile,anyway tunashukuru
Hatimaye leo TBC wamejitutumua na kuonyesha Mpira lkn na mapungufu lukuki kama kawaida,kwanza wakijiunga late na pia hata quality yenyewe ilikuwa very poor siyo kama kipindi kile,anyway tunashukuru