kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
Nimevuta siti apa [emoji856]
1. unaonekana muhenga saana unatumia maneno ya ''Manzi'' ambayo ni maneno ya vijana wa zamani sana ambayo yalikwisha kutoweka kwenye matumizi ya kizazi cha leo?....Amini babu.kawaida Tunahusisha Umalaya na kabira au Makazi au kazi Ya Manzi.
Tunakosea Sana, DHANA POTOFU SANA.
nina Manzi Mzaramo but she is Very Smart.
TUBADILIKE
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Aroo Mura unaonekana muhenga saana unatumia maneno ya ''Manzi'' ambayo ni maneno ya vijana wa zamani sana ambayo yarikwisha kutoweka kwenye matumizi ya kizazi cha reo?
2. Aroo!!! ni kweri kuna Makabira mengine kutokana na mafundisho yao ya kimira inabidi mabinti wawe wahuni tuu, mfano mambo ya unyago, ngoma na matambiko mbarimbari kuna watangurizi wao wanakuwa kama waarimu wao, hivyo usidharau sana risemwaro ripo
3.Yawezekana kweri kwenye ukoo akapatikana mmoja mwema rakini kwa sababu unapooa unajiunganisha na ukoo wao na ndugu zake wanakuwa ndugu zako basi ware ndugu zake watakuwa na tabia hizo hivyo kukukwaza.
Napingana na hoja,
1hv kweli kaka ushawahi kutana na mhaya hapendi sifwaa?!!
2ushakutana na msukuma asiye mshamba?!!
3ushakutana na mchaga hapendi pesa?!!
4Ushakutana na mhehe hapendi mbwa?!!
5ushakutana na mmasai hatumii ugoro?!!
6ushakutana na mkaskazin asiye mkorofi ama asiyetumia kirevi chochote?!!
7ushakutana na mtu wa sumbawanga asiye na chale pahala popote pale mwilini mwake(hata awe mlokore)
==>>Hebu ww, fanya kujiuliza tu, kama haujaona na hizo tabia kwa kila aina ya mtu niliokutajia basi utakuwa haujui kuangalia watu?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We jichanganye tuu
Amini babu, kawaida tunahusisha umalaya na kabila au makazi au kazi ya mwanamke. Tunakosea sana, ni dhana potofu sana.
Nina Mwanamke Mzaramo but she is Very Smart.
TUBADILIKE
Sent using Jamii Forums mobile app