Tunakiangamiza kizazi cha kesho

Dogo anapiga munde, si mchezo, katalewa siku 7 haka
 
Na babake anamsifu,ya kwamba dogo Ana kipaji kwa kufuata nyayo zake..
 
Nimehisi kama kapigia selfie tu si kweli kama anakunywa
 
Mbona hii ni kawaida huko vijijin, kuna wazee wameranduka wakiwa shamban then mtot analia anapewa ulanzi analala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…