Plot4Sale Viwanja vinauzwa Makazi Vikindu

Babu Alli

Member
Nov 2, 2020
23
41
VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA!


MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI NDANI YA VIKINDU, WILAYA YA MKURANGA, MKOA WA PWANI.

UMBALI NI KILOMITA MBILI ( 2 ) KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI (KILWA ROAD)

VIKINDU KAMA VIKINDU

Maji Safi na salama yapo kwenye viwanja, Umeme upo Jirani sana na Viwanja, Shule ya serikali na private zipo jirani na mradi, Soko, kituo cha afya, Nyumba za Ibada n.k

Watu wamesha anza kujenga wapo majirani kwenye Eneo la viwanja

Njia kubwa inapitika kipindi chote.

Viwanja ni tambarale kabisa.

Viwanja VIMESHAPIMWA mtaa kwa mtaa na barabara za mitaa zimechongwa na zinapitika nyakati zote.

UKUBWA NA BEI

1,500,000/= futi 50×40 (Sqm 200)
3,000,000/= futi 50×80 (Sqm 400)
6,000,000/= futi 80×100 (Sqm 800)

NB: Unaruhusiwa kuongeza Eneo zaidi na zaidi, Kikubwa ni mahitaji yako na pesa yako tu.

USAFIRI:

Kuna usafiri wa daladala za kutoka maeneo mbalimbali na kukufikisha mpaka vikindu, kama vile:
Gerezani hadi vikindu,
Tandika hadi vikindu ,
Temeke hadi vikindu ,
kivukoni hadi vikindu,
Kigamboni hadi vikindu,nk.


MALIPO:

Unaweza kulipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana, unatanguliza 50% ya bei ya kiwanja ulichochagua kama malipo ya awali, na pesa inayobaki utalipa ndani ya miezi 3 au tunaweza zungumza ni kwa kipindi gani utakamilisha deni lako.

MAWASALIANO:
Tunapatikana kupitia,
0787 600 849 (WhatsApp + Calls)
0623 433 833 (WhatsApp + Calls)

KARIBUNI SANAView attachment 1915632View attachment 1915633View attachment 1915634View attachment 1915635View attachment 1915636View attachment 1915637View attachment 1915638View attachment 1915639

IMG-20210824-WA0013.jpg
IMG-20210824-WA0009.jpg
IMG-20210726-WA0026.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom