Tunajenga mtambo wa BIOGAS

Tunajenga mtambo wa BIOGAS

Watu wangapi wanaweza kuhudumia mtambo kwa kinyesi?
Kwa mtambo mdogo 4 mitacubu familia ya watu 5 mpaka 6 wanaweza kuhudumia mtambo , na mabaki ya chakula au takataka za jikoni
 
Hiyo Ni volume (ujazo) bei inategemea na size unayohitaji na uwezo wako wa kuhudumia huo mtambo
Kijana wangu una idea nzuri lkn unashindwa kutoa maelezo ya kuvutia.
Mfano;
Ungeeleaa kuwa ili uweze kumudu mtambo wa cubic mita kadhaa uwe na ng'ombe wangapi?
Na mfano cubic mita 6 inahudumia familia ya watu wangapi?

Nimetoa mfano wa ng'ombe kwasababu ndio rahis zaidi kuhudumiamtambo kuliko mifugo mingine.
Nguruwe anafaa japo hazidi ng'ombe.
Binadamu pia kinyesi kinafaa lakini hii hutumika kwa taasisi kubwa kama shule mkuu.

Funguka kumbuka unaongea na watu wenye uelewa wa hiki na wengine hawajui hii kitu.

Labda nitangaze maslahi...ninao mtambo wa 6 cubic mita pia
 
Awesome information, nitakaa hapa for the time being, mtoa mada una madini ingawa watu kuelewa itachukua muda .
Bio gas inayotoka ina kiwango gani cha NH4 ,au inategemeana na biomass content? Na je inawezekana kufunga filter kuondoa ile odour?
Biogas Kama biogas , Ina gase 3 , ammonia, Hydrogen sulphide na carbon dioxide.

Kinachofanyika, hizo gase zipo zinatokana na mbole yaani organic material ambayo ndiyo law materials ya Biogas. Unapoweka material kwenye mtambo wa BIOGAS unachanganya na maji, yaani HAYO materials Yana undergo hydrolysis , zinatengenezwa Amino acids ,hizo Amino acids zinaunder Reduction process by Hydrogen sulphide, to get Acetate ambayo nayo inakuwa reduced na Hydrogen Cobonate ,na kupata Methane ambayo ndiyo BIOGAS
 
Kijana wangu una idea nzuri lkn unashindwa kutoa maelezo ya kuvutia.
Mfano;
Ungeeleaa kuwa ili uweze kumudu mtambo wa cubic mita kadhaa uwe na ng'ombe wangapi?
Na mfano cubic mita 6 inahudumia familia ya watu wangapi?

Nimetoa mfano wa ng'ombe kwasababu ndio rahis zaidi kuhudumiamtambo kuliko mifugo mingine.
Nguruwe anafaa japo hazidi ng'ombe.
Binadamu pia kinyesi kinafaa lakini hii hutumika kwa taasisi kubwa kama shule mkuu.

Funguka kumbuka unaongea na watu wenye uelewa wa hiki na wengine hawajui hii kitu.

Labda nitangaze maslahi...ninao mtambo wa 6 cubic mita pia
Hapa Mimi sitoe elimu Kaka, yule ambaye Yuko serious atanicheki, nawapa idea tu. Mambo mengine atanicheki ndiyo maana nimedisplay namba yangu
 
Kwa mtambo mdogo 4 mitacubu familia ya watu 5 mpaka 6 wanaweza kuhudumia mtambo , na mabaki ya chakula au takataka za jikoni
Sio kweli kaka...tuwaambie watu ukweli wasikukutukane baadae.
Ikiwa ng'ombe wa kuga zero grazing hutoa kinyesi cha wastani 15kg/24hrs...
Binadamu hutoa hata 1kg?

Na hao ng'ombe 4 hadi 5 ndio huhudumia mtambo wa 5 to 6 CBM ...itawezekanaje kinyesi cha binadamu 5 hadi 6 na mabaki ya mbogamboga zihudumie 4cbm mkuu?
 
Hapa Mimi sitoe elimu Kaka, yule ambaye Yuko serious atanicheki, nawapa idea tu. Mambo mengine atanicheki ndiyo maana nimedisplay namba yangu
Ok kumbe ninaharibu?

Samahani naishia hapa
 
Sio kweli kaka...tuwaambie watu ukweli wasikukutukane baadae.
Ikiwa ng'ombe wa kuga zero grazing hutoa kinyesi cha wastani 15kg/24hrs...
Binadamu hutoa hata 1kg?

Na hao ng'ombe 4 hadi 5 ndio huhudumia mtambo wa 5 to 6 CBM ...itawezekanaje kinyesi cha binadamu 5 hadi 6 na mabaki ya mbogamboga zihudumie 4cbm mkuu?
Ndiyo maana huwezi kusema kwa nadharia , lazima ufike site ujiridhishe na mazingira ndiyo uweze kumshauri mtu. Kwenye mtandao utakuwa unaongea kwa nadharia tu. Kitu ambacho practically kikawa tofauti.
 
Mt

Mtu ambaye Yuko serious ana huhitaji wa huu mtambo atanicheki , ndiyo maana ya kudisplay namba
 
Back
Top Bottom