Cubu ndio nini haswa mkuu.Karibu ujengewe mtambo WA BIOGAS WA SAIZE MBALIMBALI 4 mita cubu ,8 mitacubu ,15,21,32,65,100 na kuendelea kulingana na nahitaji yako ,0686124826View attachment 2218849
Cubu 5 hiviHiyo Ni volume (ujazo) bei inategemea na size unayohitaji na uwezo wako wa kuhudumia huo mtambo
Gharama inategemea na size na uwezo wako wa kulisha mtambo husika. Kwa size ya 4 mitacume , bei unafika mpaka 5M. Na ya 8 Mitacube inaenda mpaka 7.5M , exact bei inapatikana baada ya survey kufanyika na kulingana na mazingira ya Eneo husikaGharama yake ikoje??hapo na material
Lifespan ya huo mtambo n miaka mingapi au unapiga Kaz mileleGharama inategemea na size na uwezo wako wa kulisha mtambo husika. Kwa size ya 4 mitacume , bei unafika mpaka 5M. Na ya 8 Mitacube inaenda mpaka 7.5M , exact bei inapatikana baada ya survey kufanyika na kulingana na mazingira ya Eneo husika
Huo Ni lifetime , as long as unaulisha mbolea , gasi itaendelea kutokaLifespan ya huo mtambo n miaka mingapi au unapiga Kaz milele
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nakushangaa mkuu huo uwezo tutaujuaje na huelezi ili tuchague?Hiyo Ni volume (ujazo) bei inategemea na size unayohitaji na uwezo wako wa kuhudumia huo mtambo
Ninaposema uwezo, ninamaana malighafi ya kulisha mtambo yaani mbolea, au mabaki ya chakula na kinyesi. For domestic use ,Residential , mtambo unaofaa Ni 4 mitacubu na 8 mitacubu. Kuanzia 15 mita cube na kuendelea inafaa Taasisi bar , shule na Taasisi nyingine yoyote. Kulingana na kwamba uwezo wa kulisha mtambo Ni mkubwa. Lakini Kama una mifugo ya kutosha iwe kuku, ng'ombe au nguruwe unaweza kuhimili mtambo hata 21 mitacubu. Itaweza kupata gasi ya kutosha na kuwapa au kuwauzia majiraniNakushangaa mkuu huo uwezo tutaujuaje na huelezi ili tuchague?
Weka kila kitu wazi
Huo mtambo mdogo wa mil 5 una nguvu kias gan yaan taa ngapi matumiz ya pas friji tv radioNinaposema uwezo, ninamaana malighafi ya kulisha mtambo yaani mbolea, au mabaki ya chakula na kinyesi. For domestic use ,Residential , mtambo unaofaa Ni 4 mitacubu na 8 mitacubu. Kuanzia 15 mita cube na kuendelea inafaa Taasisi bar , shule na Taasisi nyingine yoyote. Kulingana na kwamba uwezo wa kulisha mtambo Ni mkubwa. Lakini Kama una mifugo ya kutosha iwe kuku, ng'ombe au nguruwe unaweza kuhimili mtambo hata 21 mitacubu. Itaweza kupata gasi ya kutosha na kuwapa au kuwauzia majirani
Mtambo wa 5M utakufaa kwa kupika Kaka labda na Taa Tu.Huo mtambo mdogo wa mil 5 una nguvu kias gan yaan taa ngapi matumiz ya pas friji tv radio
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mtambo wa 5M utakufaa kwa kupika Kaka labda na Taa ,labda ukitaka na matumizi mengine lazima uunganishiwe generator linayotumia biogasHuo mtambo mdogo wa mil 5 una nguvu kias gan yaan taa ngapi matumiz ya pas friji tv radio
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hyo tv pas haiwezekani kwa mtambo wa mil 5Mtambo wa 5M utakufaa kwa kupika Kaka labda na Taa ,labda ukitaka na matumizi mengine lazima uunganishiwe generator linayotumia biogas