cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Huu Ujinga ndiyo Mnawalisha watu wa Vijijini Ili Waogope Wawachague Upuuzi tu!
Tanzania ilikuwa nchi ya chama kimoja na usingeweza kupata elimu ya juu bila kupitia CCM, sasa ni nani unayeweza kumpata ambaye hakupitia CCM?Kabla hujafikiria unaitoaje CCM madarakani ,jiulize CCM ikiisha toka madarakani atakayeingia madarakani ni nani na wa namna gani ?.
Tumeshuhudia wapinzani hao hao waliotegemewa na wananchi kwa misimamo yao thabiti wakiamia CCM na kuwaacha wananchi waliowapigia kura wakiduwaha haaaa!.
Baadhi ya walio wengi upinzani ni wale walio kuwa CCM wakakosa nafasi za uongozi au uteuzi ndani ya CCM au serikalini na hivyo kuelekea upinzani .
Kutambua huyu ndiye au huyu siye wa kuibadili CCM ni kitendawili kwani ni Watanzania wachache wenye uzalendo wa kweli wa tayari kufia nchi yao.
Point yangu ni kwamba hata ccm asipocheza michezo michafu kwenye uchaguzi bado kura anazopata kwa hao waigizaji ni nyingi huwezi kushindanisha na chama kama cha Hashim Rungwe huko,hivyo pamoja na yote yanayosemwa kuhusu ccm ila bado wana mtaji wa kutosha wa wapiga kura hadi leo.Kuna chama hakipati kura kwenye uchaguzi au huwa hazitoshi tu?
Nani anaweza kufanya hayo ikiwa mnaficha sura zenu hata humu jf sembuse hadharani?msidanganye watuSo far hakuna kiongozi wa upinzani anayeonesha dalili ya kutumia njia hizo tunasubiri kupiga kura tutumbukie tena kwenye bwawa kama kawaida.
amani inapatikana kwa kuiba kura auAmani italindwa kwa gharama zote
Kama umeichoka sogea Burundi au Congo
Tanzania kipaumbele cha kwanza ni amani
So far hakuna kiongozi wa upinzani anayeonesha dalili ya kutumia njia hizo tunasubiri kupiga kura tutumbukie tena kwenye bwawa kama kawaida.
Kasome historia ya Singapore na Malaysia ndiyo utajua kwa nini kwa hizi siasa za CCM, hatuwezi kufika popote.Kwanini wewe shida yako hasa nini embu kuwa analitiko na sio mpiga majungu. Hoja yako DHAIFU sana, haina changamoto wala Vision. Weka mfano. So far JPM anafaa kwa mazingira yetu ya penda dezo. Embu tuambie chama gani sasa utakipa madaraka na sera zake katika mazingira yetu ya Tz. Tatizo tungeanza kudeal na Mentalität mbovu kama zako na watz wengi kuhisi chama au mtu ndo ataibadili Tz. Play your part, fanya kazi, lea watoto wako katika msingi wa utu na kujua umuhimu wa kufanya kazi hata kma kulima nyanya. Hakuna duniani nchi iliyofika juu kwa KUWA NA viongozi wa kucheka cheka na wananchi wapenda maneno mengi na mipasho. Soma historia njoo hapa tuambie. SIASA ZETU BADO NI ZA NITAPATA LINI NAFASI NILE. AND WALA ITS NOT ABOUT CCM ITS ABOUT ME AND YOU. HATA CCM NDANI WANAJIBADILISHA NA NYIE MNABAKI NA JINA BADALA YA KUANGALIA MATOKEO NA MAELEKEO. PAMBANISHA SERA ACHA MASIMULIZI YA VIBANDA VYA KAHAWA. TUONYESHE VISION YAKO.
Point yangu ni kwamba hata ccm asipocheza michezo michafu kwenye uchaguzi bado kura anazopata kwa hao waigizaji ni nyingi huwezi kushindanisha na chama kama cha Hashim Rungwe huko,hivyo pamoja na yote yanayosemwa kuhusu ccm ila bado wana mtaji wa kutosha wa wapiga kura hadi leo.
Ikitoka sisiemu kwa hiyo mnaweka chama gani?
Sababu ni wazi sio chadema, hawa ni majizi na wapiga dili na hawajui uongozi. Angalia wanavyoendesha chama chao kama saccos.
Mkianza kuizungumzia hiyo ccm utasema hata kampeni haifanyi wala hazina athari kwao wao wanategemea wizi wa kura tu,akishinda mbunge wa upinzani haki imetendeka ila akishinda wa ccm basi wameiba kura.Naomba nikusisitizie, iwapo ccm itashiriki uchaguzi katika uwanja ulio sawa, haina uwezo wa kupata zaidi ya 55% ya kura za urais, wabunge au madiwani. Iwapo itakuwa na idadi hii haiwezi kupitisha wala kutunga sheria zenye maslahi kwa chama chao. Na huo ni msimu mmoja kwa idadi hiyo na msimu unaofuata haitapata juu ya 50% kwenye kiti chochote. Huu wizi wa kura, ukatili na unyama wakati wa uchaguzi kwa kushirikiana na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola ni juu ya hofu hii ya kutokukubalika. Kama una amini wanauwezo huo au wanakubalika sana, washawishi wafuate huu ushauri wako uone kama ccm haijaifuata KANU ya Kenya kaburini.
Mkianza kuizungumzia hiyo ccm utasema hata kampeni haifanyi wala hazina athari kwao wao wanategemea wizi wa kura tu,akishinda mbunge wa upinzani haki imetendeka ila akishinda wa ccm basi wameiba kura.
Amani italindwa kwa gharama zote
Kama umeichoka sogea Burundi au Congo
Tanzania kipaumbele cha kwanza ni amani
Tutatengeneza katiba mpya hii itatusaidia wakibolonga CHADEMA nao tutawatoa. Kwani uimara wa chama ni nini?ni Fedha. Tutachanga. Chama kimekaa madarakani miaka karibia 40 kitaacha kuwa imara?Tatizo hakuna Chama Mbadala!! Sasa niambie tuiondoe CCM tuweke chama gani? Chadema??!! Kama ruzuku tu imewaishinda sembuse nchi!! Si watakopeshana raslimari zetu zote!!?? Halafu nani anaweza kutuongoza huko kwenye chama mmbadala? Mbowe, Lema, Msigwa? Hatufanyi majaribio. Tusubiri kikipatikana chama mmbadala na ninafikiri kitatoka ndani ya CCM na sivinginevyo!
hahahahaha jomba naona umelewa amani..umechoka na ccm sasa unataka utuletee mafisadi yenu...nendeni zenu.kule..wacha ccm itawale hata. milele..kama inatuletea maendeleo tatizo lako nini...yaani shida yako.unataka zamu tu ya kula baaasi..unaona wenzio wanafaidi。ni wakati wao.wacha wafaidi lakini wanaendelea kipiga kazi sana..mtasubiri sana