Tunaitaka nchi yetu.

bibi hata hajui kuweka alama ya V lakini ccm imemchoshaaaa
 
pamoja na yote, hawa jamaa wa CCM na CCJ bandia hawaachi kuichakachua nchi hii wanaendelea kula maposho na mishahara minono. Jamani hii nchi yetu sote, tusibanwe hivi hadi tushindwe kupumua. Mtatawala maiti, shauri yenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…