Tumesha zisoma mpaka namba za KIRUMI. Ila vijana wa lumumba ndio wameshika fora, wamesha maliza mpaka COURSE WORK!!! Course Work ya SEMESTER 5, wamei soma ndani ya semester 3 tu. Na bado[emoji57] [emoji18] [emoji53]
Maisha ni leo mkuu ajifunze nchi ndogo Carp Verde, watu wana furaha mambo yana kwenda,haya mambo kila mkuu akiongea anapunguza matumaini Sio kabisa. Sheria nyingine za kurekebisha zina mapungufu mengi.