Sikulaumu kwani hizo ndizo faida za kukimbia shule kwenda ktk vigodoro mavuno yake ndo mawazo kama haya raiti ungekwenda shule usingeongea pumba,kwanza tambua ualimu,udaktari,hii ni kada ambayo haitakiwi kukaa mtaani kwa muda mrefu kutokana na haiba ya kazi zao,unapokaa mtaani mda mrefu baadae ukaudumie jamii razima kuna ethics zitakua ushapoteza.naomba niishie hapo .ila tammbua asiye na elimu hawezi tambua changamoto za elimu kwahyo hata mawzo yake yanakua sio ya kisomi,hutawaliwa tu na wivu,mijungu,pumba, n.k.