Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Msomi kama Dr. Magufuli atatuvusha katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu ya BURE, kuimarika kwa shilingi ya Tanzania na mahakama ya KADHI/MAFISADI
acheni ujinga. elimu ya bure bila madawati, vitabu, vyoo na madarasa ni kutuharibia watoto.
inaondolewa ada ya 20000 aafu michango inafikia 200000!!!
bado mnawadanganya watanganyika kuwa mnatoa elimu ya bure.