Tunahitaji Rais mwenye PhD, asie fisadi

Tunahitaji Rais mwenye PhD, asie fisadi

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,410
Reaction score
40,089
Tanzania kwa mara nyingine itavunja rekodi Afrika nzima kwa kuwa na Raisi msomi wa ngazi wa shahada ya uzamivu ya Kemia(PhD in Chemistry) tena asie FISADI. UKAWA jiandaeni kisaikolojia.
 
Msomi kama Dr. Magufuli atatuvusha katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu ya BURE, kuimarika kwa shilingi ya Tanzania na mahakama ya KADHI/MAFISADI
 
Nchi haiongozwi na PhD inaongozwa na Busara na hekima peke yake
 
Ph. D hata mimi ninayo na sikugombea urais. Hivyo si kigezo, by the way wako wengi tu wenye Ph. D, ola wakishaingia CCM wanakuwa kama darasa la saba.
 
Yaani kuna watu ni wapmv kweli...hata kama unalipwa..?
Yaani huyo anayeachia kijiti ni msomi wa za kupewa china sababu ya ndovu na gas ??

Na ulisikia wapi PhD inaongoza nchi ?
 
PhD siyo kipimo tosha...

Pihechidi yenyewe unasoma ukiwa waziri tena part time na walimu wa choo kikuu cha darisalamu! Nina uhakika hamna anachokijua katika kile alichokisomea maana hakina uhusiano hata kidogo na anacho kifanya!

Hizi ni pihechidi kma za akina Nchimbi za kutafutia uwaziri!
 
Tanzania kwa mara nyingine itavunja rekodi Afrika nzima kwa kuwa na Raisi msomi wa ngazi wa shahada ya uzamivu ya Kemia(PhD in Chemistry) tena asie FISADI. UKAWA jiandaeni kisaikolojia.
Kikwete alikuwa na PhD ngapi?naimani hutajibu maana.....
 
Kuna mama ITV ni Dr anasema serikali inatumia million 250USD kila mwaka kutibu viongozi nje!Hii takwimu iko sahihi wadau?
 
Tanzania kwa mara nyingine itavunja rekodi Afrika nzima kwa kuwa na Raisi msomi wa ngazi wa shahada ya uzamivu ya Kemia(PhD in Chemistry) tena asie FISADI. UKAWA jiandaeni kisaikolojia.
Nyani haoni ....
 
PhD ndo MUAROBAINI wa umaskini wetu, maana ni mtu msomi, mwenye uelewa wa mambo (Asiye Kurupuka). CCM MBEL KWA MBELE HAPA KAZI TU.
 
PHD NI upimbi tu, mbona Rais Kenyatta Hana na Kenya inapaa?

Kakundanganya nani Kenya inapaa? Tafadhali usilinganishe kimo cha mbilikimo kwa kutafuta yupi ni mrefu zaidi. Wote ni mbilikimo tu! Inakera sana kujilinganisha na kenya. Tafuta nchi zenye maendeleo ya Kweli na wako mbali haswa. Kenya kuna nini hasa cha ajabu au cha kutushinda? Ni mambo madogo ana machache. Nao pia yapo tuliowapita. Au ni hizo barabara na reli wanayojenga sasa? Mbona SGR Tanzania inayo toka miaka ya sabini!!! Acha mzaha ndugu.
 
kakundanganya nani kenya inapaa? Tafadhali usilinganishe kimo cha mbilikimo kwa kutafuta yupi ni mrefu zaidi. Wote ni mbilikimo tu! Inakera sana kujilinganisha na kenya. Tafuta nchi zenye maendeleo ya kweli na wako mbali haswa. Kenya kuna nini hasa cha ajabu au cha kutushinda? Ni mambo madogo ana machache. Nao pia yapo tuliowapita. Au ni hizo barabara na reli wanayojenga sasa? Mbona sgr tanzania inayo toka miaka ya sabini!!! Acha mzaha ndugu.
tazara
 
Back
Top Bottom