Amini usiamini watanzania wengi hatupendi kufanya kazi. Majuzi nilianzisha mradi na vijana wasiokuwa na kazi, ili tuunde kikundi cha kufanya kazi pamoja, nilichowaeleza vijana wale kikundi kile kitaongozwa na kauli mbiu ya mchango wako wa hali ndo muhimu kuliko mali. Nikatoa ufadhiri wa kusimamisha project ndogondogo, nikawaambia vijana wale tufanye kazi hata za kuuza maji ya ndoa maeneo ya stand, tuuze hata juice ya makopo, icecream na hata tuwe na genge la kuuza chakula, amini usiamini vijana wale wamenikimbia, kila siku wapo kijiweni asubuhi hadi jioni hawana cha kufanya. Hapo ndo nikaamini maneno ya viongozi wetu waliowahi kusema watanzania ni wavivu kufanya kazi. Kwa hali niliyoiona tunahitaji muujiza tu kututoa hapa, hebu angalieni hata hapa JF, jukwaa hili ndo lina wachangiaji wengi, akiri zetu tumezielekeza kwenye mapenzi, vijana wale kila kukicha wanafukuzana na wanawake tu, kuvuta sigara na mengine ya ovyo.
Ilibidi mjadiliane kwa pamoja nini wanaweza kufanya,uliwapa vitu wasivyoviweza,anyway hili ni tatizo kwa vijana wengi hawapendi kazi za sulubu. Hongera kwa kuthubutu kuinua vijana wenzako.
we ulikosea kitu....ungeuliza hao vijana wana interest gani kwanza
mtu labda ni fundi cherehani kakosa tu mtaji unataka umpe ndoo auze maji stendi?
serious?
halafu mtu kukaa kijiweni haimaanishi ni maskini wa mwisho..kabda ana uhakika wa kula kila siku so anachotaka ni kitu kitakacho mpeleka next step sio tena wewe uanze tena mfundisha kutafuta hela ya kula....
wewe unashauri tufanyaje kutokana na hali hii...
mkuu mbona wala sikuwabana, kulikuwa na nafasi ya wao kusema wanachotaka.
Kwakuwa wanapenda sana wanawake ungewaambia wafanye kazi asubuhi na jioni unawatafutia papuchi za bure.
system ya elimu kwa nchi yetu iangaliwe upya, maana katika kundi hili pia nilikaribisha vijana waliomaliza vyuo, lakini nao wameona heri kubaki vijiweni. Pia tunahitaji kiongozi mkali, nadhani dikteta atakayekuwa mkali kuhakikisha vijana kama hawa wanarudishwa vijijini wakalime, ila waboreshewe mazingira huko na mwisho nashauri vyombo vya usalama viwe moto maana wengi wa hawa vijana wamegeuka kuwa vibaka na kwa kweli wanapata, umelala wanatoboa dirisha wanaiba na wanaendelea kupeta, wakidhibitiwa najua watafanya kazi halali.
Amini usiamini watanzania wengi hatupendi kufanya kazi.
Majuzi nilianzisha mradi na vijana wasiokuwa na kazi, ili tuunde kikundi cha kufanya kazi pamoja, nilichowaeleza vijana wale kikundi kile kitaongozwa na kauli mbiu ya mchango wako wa hali ndo muhimu kuliko mali.
Nikatoa ufadhiri wa kusimamisha project ndogondogo, nikawaambia vijana wale tufanye kazi hata za kuuza maji ya ndoa maeneo ya stand, tuuze hata juice ya makopo, icecream na hata tuwe na genge la kuuza chakula, amini usiamini vijana wale wamenikimbia, kila siku wapo kijiweni asubuhi hadi jioni hawana cha kufanya.
Hapo ndo nikaamini maneno ya viongozi wetu waliowahi kusema watanzania ni wavivu kufanya kazi.
Kwa hali niliyoiona tunahitaji muujiza tu kututoa hapa, hebu angalieni hata hapa JF, jukwaa hili ndo lina wachangiaji wengi, akiri zetu tumezielekeza kwenye mapenzi, vijana wale kila kukicha wanafukuzana na wanawake tu, kuvuta sigara na mengine ya ovyo.