Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,651
Majukumu ni kutengeneza machine za EFD zilizoharibika
mshahara laki saba plus night overtime.
Kwa aliye tayali anicheki mapema afanyiwe usahili na kazi kuanza mara moja.
- Ku update machine
- Kutoa z short na monthly report
- Kutoa report ya daily na monthly
- Kun unblock na kublock machine za efd machine
- Ku cancel wrong amount
Kutengeneza machine za Efd zilizoharibika
mshahara laki saba plus night overtime.
Kwa aliye tayali anicheki mapema afanyiwe usahili na kazi kuanza mara moja.