BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
waendelee kutafuta, dau likiwa kubwa wanaweza mpata
Adha ni kwa wale wasiomuamini Mwenyeezi Mungu na sharia zake, mwanamke mwenye imani yake humuambia "mume wangu kaoe" uniletee watoto nilee. Tumewaona wengi tu wa namna hiyo.