Tunahama!!!!

Kha! mtoto huyo si nguo useme utaomba mtu
 
Uimara wa uchumi wa Kenya hauna faida kabisa na Maisha halisi ya wakenya wenyewe, jamaa wana Maisha magumu sana sijaona Maisha hayo kwa Tz
Hivi jina Nyang'au lilitokana na nini? Na kwanini waliitwa hivyo Wakenya?

Msaada plz,
 
CCM mna mengi ya kujibu mbele za Mungu.
 
Duh! Baada ya kufanya kazi miaka 12, vyombo vyoote pamoja na mtoto havijazi toroli moja!... Kweli mambo yamebana!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…