Jaman msaada huku nina hii LG LHD675 DVD Home Theater System with Dual Subwoofer kila ikiwashwa dk 10 inaingia kwenye protection modeacha uongo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bei zake sio Rafiki kama unashida ya kioo cha tv ni PM
Kweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli siunaenda polisi na unakuja na uzi wako unautililisha,kingine hakuna biashara isiyokuwa na mtu wa Kati(dalali).
Sent using Jamii Forums mobile app
BEI MPYA ZA BOSS TV
15" 110,000
17" 120,000
19" single 130,000
19" double 135,000
21" double 145,000
22" single 150,000
22" double 155,000
24" single 165,000
24" double 180,000
32" single 230,000 (new)
32" double 245,000 (new)
32" smart 300,000
43" single 460,000 (new)
43" double 480,000 (new)
43" smart 530,000 (new)
55" smart 950,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Tuone
Wajuzi Wa Mambo Mengi Sana
JF is full of pessimistsKweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli siunaenda polisi na unakuja na uzi wako unautililisha,kingine hakuna biashara isiyokuwa na mtu wa Kati(dalali).
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenda China ndio unajua bei kila display? Yaani wafanyabiashara mnaoenda China na Dubai mnahisi mnajua kila kitu kinachouzwa hapa mjini.Kaka mimi nimekuwa fundi TV toka 1994,nna nnajua bei na disply kwani China naenda na nnajua bei zake!nna ni mkongwe kwenye TV na simu nilianza fundisha watu juu ya ufundi wa Simu na Flat TV kabla ya VETA kuona umuhimu wake mpaka leo!! Hizo disply unazouza hapa ni fake na wewe ni dalali....... mtu akileta TV unaenda kutafuta Tcon au disply etc unakuja iweka.Sisi ndo tulikuwa washauri wa KVD wakati anataka fungua duka la spear(RIP) na pia City phones,SAPNA na Fredom Electronics! Atupost kwa kuwa tunapost....Tunapost kwa sababu tunajua Electronics na IT na tunajua hapa Tanzania nani fundi nani mbadilisha cover nani ajui! Ila thanks TCRA july 2020 watu kama nyinyi mtapotea milele hapa Tanzania
Kweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli siunaenda polisi na unakuja na uzi wako unautililisha,kingine hakuna biashara isiyokuwa na mtu wa Kati(dalali).
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenda China ndio unajua bei kila display? Yaani wafanyabiashara mnaoenda China na Dubai mnahisi mnajua kila kitu kinachouzwa hapa mjini.
Umeongea point chief humu wengi ni watoto wanaoanza maisha na wengine kula kulala kwa ndugu/shemeji zao.
[emoji23][emoji23][emoji23] bongo uchawi mwingi sana.. Kuna jamaa hapo juu kaponda biashara ya mwenzie alafu akamalizia yeye anauza kwa bei rahisi[emoji23][emoji23]
Sasa si ufungue uzi wako[emoji119][emoji119]
Kazi njema mkuu
Uchawi si lazima ubebe tunguliBei zake sio Rafiki kama unashida ya kioo cha tv ni PM
Uchawi si lazima ubebe tunguli
Izi tv safi sana mm pia na yangu kama hii inatumia adaptor inasemu ya kupunguzia umeme ukija mwingi...More elaborations please, Hizi bei ni pamoja na TV Za kichina kama aborder maana nilinunua yangu dukani nchi 32 kwa shillingi 290,000/= sasa iweje niibadilishie kioo tu kwa laki 3.
Ok sawa ila watu kama hao ww wapotezee tuu wajibu wenye shida na biashara yako bac...Ni kweli kwa jibu nilomjibu yule mdau ni jibu la kibri ni yule aliyetaka huu uzi ufutwe,mkuu na yule ulitakiwa useme na yeye ana nini? chuki,Roho mbaya au uchawi? Maana huu uzi ungefutwa hata wew usingekuwepo hapa kuchangia
Sent using Jamii Forums mobile app
Why nitoe ela nyingi nunua matv ya bei wakati zipo za bei cheeSOYI ELECTRONIC bei mpya —- JANUARY 2020 OFA OFA
GOODVISION TV
GV-19 DOUBLE @ 120000[emoji91]
GV-21 DOUBLE @ 130000[emoji91]
GV-24 DOUBLE @ 150000[emoji91]
GV-25 @ 170000
GV-25 DOUBLE@180000
GV-32@ 240000
GV32 DOUBLE@ 250000[emoji91]
GV-50 SMART 4K@ 700000
SOYI TV
T-25 @160000[emoji91]
P-25 @180000
T-32 @220000[emoji91]
P-32 @250000[emoji91]
S-32 SMART DOUBLE @280000[emoji91]
S-42 SMART @460000
P-42 DOUBLE @460000[emoji91]
SY-50 SMART 4K @700000
SY-55 SMART 4K @900000[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app