The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 471
- 974
- Thread starter
-
- #21
hiyo bei ya vioo sasa ..si bora nikanunue nyingine kabisa...hiyo mbovu niuse kama spares
Mkuu na TV yangu Samsung curved inch 55 mtoto alivunja kioo nimeangaika sana kwa mafundi mpka Samsung kwenyewe nimekosa kioo chake vipi mkuu naweza kupata kwako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oke kioo kipo mkuu bei 850000/= cha hio curved 4K inch 55 series 7....NB hapo mwanzo umekosa kioo kwa sababu hakuna vioo vya UHD bado avijaanza kuingia Tanzania na km vimeingia ni sehem chache sana ila kwa sasa zimeingia conveta card inatoa UHD to HD or HD to UHD yanii 2k kwa 4k or 4k kwa 2k...so nitakufungia kioo cha 55 cha HD ila nitatumia conveta ili kitoe UHD na itakuwa 4K kawaida..conveta ni elfu 80..for more infro karibu 0676744827
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndio bei za vioo.. Kiuhalisia huwa zinapisha kama laki 2 na bei halisi ya tv ndio maana watu wanaona bora wanunue tv mpya ila hawa ni wale wenye mifano ya tv sio tv hasa zile brand za kuaminika [emoji23]
Sio kweli mkuu kubadilisha kioo cha TV sio sawa na kubadilisha figo ktk mwili wa binadam
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa unatokwa na mapovu kama omo, binafsi najua hzi electronics, simu au tv ikivunjika kioo ni kununua mpya tu, maana kubadili display garama nj kubwa alafu usipate matokeo kusudiwa. Alafu punguza kejeli sio kila anayechangia humu kwa ubaya ama kwamba hicho kitu hana la ni kutaka kujua zaidi maana unaona kuwa na tv hzo za kichina ni issue kubwa sana kwako.
Kaka mimi nimekuwa fundi TV toka 1994,nna nnajua bei na disply kwani China naenda na nnajua bei zake!nna ni mkongwe kwenye TV na simu nilianza fundisha watu juu ya ufundi wa Simu na Flat TV kabla ya VETA kuona umuhimu wake mpaka leo!! Hizo disply unazouza hapa ni fake na wewe ni dalali....... mtu akileta TV unaenda kutafuta Tcon au disply etc unakuja iweka.Sisi ndo tulikuwa washauri wa KVD wakati anataka fungua duka la spear(RIP) na pia City phones,SAPNA na Fredom Electronics! Atupost kwa kuwa tunapost....Tunapost kwa sababu tunajua Electronics na IT na tunajua hapa Tanzania nani fundi nani mbadilisha cover nani ajui! Ila thanks TCRA july 2020 watu kama nyinyi mtapotea milele hapa TanzaniaTV original sony,Samsung, lg ,Philip inch 32 unaweza kunipa bei yake? Wew unajua bei ya kioo, na risk yake kusafirisha? Kioo kina bei zaid ya TV worldwide
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndo bei za vioo kwa tv za kueleweka .......jamaa yupo sawa tu...tv brand ya maana kioo chake hakipishani sana na bei ya hio tv kama jamaa alivyosema kioo ndo tv yenyewe.......hata upande wa simu kwa brand za maana display ikifa kubadili ni sawa na kununua simu mpya
Hapo labda kama kioo ni cha kichina ila kioo kama ni cha brand hiohio bei inakimbizana na kifaa......acha uongoππππ
nitajie kioo original toka Korea(Samsung) Sony (Japan) hapa Tanzania unavipata wapi?? ata Nimeshi pale Kisutu anaπππ. Mimi uwe na TV ,SIMU, Mashine Yeyote niambie unaipeleka kwa fundi Nani ntakuambia kama inapona au ianenda kuwa maiti..... Unajua umoja wa Mafundi ... unaitwa MANYAGO???Hapo labda kama kioo ni cha kichina ila kioo kama ni cha brand hiohio bei inakimbizana na kifaa......
Nina LG ndani imekufa kioo kuna fundi ndo akaniambia kama unataka cha mchina utapata vioo vipo vingi tu ila kwa original yeye mwenyewe akasema kupata ngumu hadi leo tv ipo ndani bado sijabadili tokea 2018nitajie kioo original toka Korea(Samsung) Sony (Japan) hapa Tanzania unavipata wapi?? ata Nimeshi pale Kisutu anaπππ. Mimi uwe na TV ,SIMU, Mashine Yeyote niambie unaipeleka kwa fundi Nani ntakuambia kama inapona au ianenda kuwa maiti..... Unajua umoja wa Mafundi ... unaitwa MANYAGO???
Ishu ni bei mengine mbwembwenitajie kioo original toka Korea(Samsung) Sony (Japan) hapa Tanzania unavipata wapi?? ata Nimeshi pale Kisutu anaπππ. Mimi uwe na TV ,SIMU, Mashine Yeyote niambie unaipeleka kwa fundi Nani ntakuambia kama inapona au ianenda kuwa maiti..... Unajua umoja wa Mafundi ... unaitwa MANYAGO???
Na huo ndio ukweli, M-korea (hata mjapani) hetengenezi parts, anaunda complete, mchina ndio anatengeneza parts kwa ajili ya repairNina LG ndani imekufa kioo kuna fundi ndo akaniambia kama unataka cha mchina utapata vioo vipo vingi tu ila kwa original yeye mwenyewe akasema kupata ngumu