The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 471
- 974
Umeongea Fact sana.. Arudi kujibuMore elaborations please, Hizi bei ni pamoja na TV Za kichina kama aborder maana nilinunua yangu dukani nchi 32 kwa shillingi 290,000/= sasa iweje niibadilishie kioo tu kwa laki 3.
More elaborations please, Hizi bei ni pamoja na TV Za kichina kama aborder maana nilinunua yangu dukani nchi 32 kwa shillingi 290,000/= sasa iweje niibadilishie kioo tu kwa laki 3.
Hizo bei si bora ninunue tv mpya, maana electronics hizi ukishaweka spana tu usitegemee ufanisi tena kama wa awali.
Aupo Serious hizi bei si za TV mpya ndugu???
Hizo bei anatoza fundi mmoja anaitwa China tena kwa TV Original sio hizi za mchina.