Tunafunga mfumo wa umwagiliaji

Minael Masasi

Member
Jan 10, 2019
34
55
TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA, EPUKA KUKAUKIWA KWA MIMEA SHAMBANI KWA UKOSEFU WA MAJI YA UHAKIKA, NA KULIMA KWA KUTEGEMEA MVUA PEKEE,

umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya drip zinazomwaga matone kidogo kidogo,

1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.

2. mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.

3. unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.

4. ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.

5. inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.

hizo ni baadhi ya dondoo za matumizi mazuri ya drip irrigation system,

Na hasa katika kipindi cha jua kali unakuwa unatamani kulima mazao tofauti tofauti kwa kuhofia kukosekana kwa maji ya uhakika ni vyema ukatumia mfumo huo wa umwagiliaji maji,

Gharama zake,

1. Nusu heka milioni 1.5 vifaa na matengenezo pamoja na ufundi,pamoja na ushauri wa mazao mbali mbali bila malipo.

2. Heka moja milioni 3 vifaa, matengezo na ufundi.

NB, Tukifika katika shamba lako tutakupa na elimu ya mazao unayotaka kulima, pamoja na masoko yake yalipo,

kwa mawasiliano zaidi tupigie

0745478823, 0657570212
Dar es saalam, Tanzania
tapatalk_1548060239340.jpeg
tapatalk_1548060245483.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es saalam, TanzaniaView attachment 1010294View attachment 1010295

Sent using Jamii Forums mobile app
GOOD
 
Kuna kitu hakiko sawa kuhusu gharama:

1. Unajuaje actual bajeti bila kusurvey , kudesign na kujua utafanya Installation kwa location ipi ( mahali project ilipo , umbali wa shamba toka kwenye chanzo , umbali wa water storage tank toka kwenye source na umbali wa water storage tank mpaka shamba lilipo ) ??

Hizi parameters hutofautisha quantities za vifaa kwa eneo moja hadi jingine

2. Swala la zao nalo hutofautisha gharama za projects maana uhitaji wa maji uko tofauti na size ya vifaa nayo huwa tofauti
 
Ni kweli na jambo kubwa uwa tunafanya kwanza surver,, n
 
1.5m kwa mkulima wa kawaida ni mtihani. Hapo bado figisu za mbolea na viuatilifu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom