Tunafukua makaburi:Je,mnaikumbuka kauli hii ya kujitapa ya Mkulu kuhusu makinikia??

Hakuna mtu mwenye akili timamu alitarajia ule mjadala utaleta tija kwa taifa.

Lengo halikua baya, ukurupukaji na kukosa mipango bora na thabiti kulitibua zoeziuu zima.



"Kwenye mazungumzo wao ndio wanaongeza watu ila sisi watu wetu ni wale wale."

Nukuu hii inaweza jhIb isiweView attachment 8454 na maneno yote halisi aliyoyatamka ila ujumbe aliolenga kuutoa kwa umma ulikuwa ni hug unaoptatikana katika mane fo hayo hapo juu.vtt
Good v I don't know how
Wazungu wanasema, "the egC nnd justifies the means."

Anyway,tusikate tamaa land a gun- tutaambuliabiView attachment 845452 walau "Balimi" moja moja kwa kila mdanganyika..

Alafu nimekumbuka.Hivi kuna yoyote alieshitakiwa mpaka sasa kama ambavyo kamati husika zilipendekeza na mkulu
IMG-20180823-WA0036.jpg
kukubali mapendekezo yote ya zile kamati?



Wanaume hawajatulipa kitu pamoja na kuwa professor Palamagamba alipewa special treatment kipindi kile ili aokoe jahazi na ji we lipate sifa kem kem

H

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20180823-WA0036.jpg
    IMG-20180823-WA0036.jpg
    60 KB · Views: 29
Makinikia hayapo tena bandarini, sijui ndio yamerudishwa tena mgodini??

Nadhani kama Jiwe angeendelea kuyang'ang'ania wakati wale wanaume waliyavuna kwa mikataba halali kabisa tuliyosaini wenyewe, kipigo chake mahakamani kingekuwa zaidi ya cha mbwa koko. Kina Kabudi wanapaswa kuupa Umma wa Watanzania mrejesho wa vikao vile
 
Wanaume hawajatulipa kitu pamoja na kuwa professor Palamagamba alipewa special treatment kipindi kile ili aokoe jahazi na jiwe lipate sifa kem kem

Hhahaaaa
Umenikumbusha siku ile anafanya presentation yake mbele ya mkulu. Prof, akatumia almost nusu saa kusifia chakula vinywaji na malazi,it was absolutely hogwash
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom