kwa ufupi sana naomba ni changie kwa kusema kwamba binadamu yeyote hufikiri kwa lugha asilia ya kwake kwa maana ya kwamba ile mbayo amezaliwa nayo na kulelewa nayo mfano mtanzania lugha yake ya asili mara nyingi ni kiswahili kwa maana amezaliwa ili hali wanajamii wake wanaongea kiswahili na kasoma na kuendelea kukitumia kiswahili ..... inapotokea najifunza lugha zingine za ziada bado anakuwa amefungwa na ile lugha asilia kwa misingi ya kwamba mpaka apate kuelewa ile lugha ajifunzayo katika lugha asilia ndio hupata kuielewa ile lugha ajifunzayo ila asipoelewa maana yake kwa lugha yake asili atoweza kuitumia sababu kile kinachotokea ni kwamba lugha jifunza hubadilisha katika lugha asilia ndipo huleta maana kwa yule anaetaka kuitumia hayo ndio mawazo yangu
binadamu ufikiri kwa kutumia lugha ya kwanza ambayo amejifunza naturally katika mazingira, wale wasiokuwa na uwezo wa kutumia lugha, kila binadamu huwa na kifaa LAD ambacho hutumika kutransform fikra katika mfumo wa lugha fulani INGAWA kifaa hiki kwa binadamu hutumika kama universal grammar au language facult
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.