Tunafanya usafi wa nyumbani na ofisini

Tunafanya usafi wa nyumbani na ofisini

dream tech

Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
12
Reaction score
21
JE UNGEPENDA TUKUSAIDIE KUSAFISHA.⁣
Nyumba au Ofisi yako?⁣

NYUMBANI ⁣
Kusafisha nyumba nzima, choo,bafu, jiko. Nk⁣

OFISINI ⁣
Kusafisha ofisi nzima viti , kudeki, vioo nk.⁣

SHULENI⁣
Kusafisha mazingira ya shule nzima.⁣

Kusafisha Sofa, Siti za gari, Viti vya ofisi na Dining, Godoro na mazuria.⁣

Bei zetu ziko chini sana⁣

Fanya booking 0758668707⁣
IMG_20200906_191956_785.jpg
 
JE UNGEPENDA TUKUSAIDIE KUSAFISHA.⁣
Nyumba au Ofisi yako?⁣

NYUMBANI ⁣
Kusafisha nyumba nzima, choo,bafu, jiko. Nk⁣

OFISINI ⁣
Kusafisha ofisi nzima viti , kudeki, vioo nk.⁣

SHULENI⁣
Kusafisha mazingira ya shule nzima.⁣

Kusafisha Sofa, Siti za gari, Viti vya ofisi na Dining, Godoro na mazuria.⁣

Bei zetu ziko chini sana⁣

Fanya booking 0758668707⁣
View attachment 1560902
Tunaendelea na kazi
 
Ni punguzo kubwa la bei kwa wateja wetu wote watakaohitaji huduma za usafi Nyumbani na Ofisini

Tunasafisha:
•Sofa aina zote
•Viti vya ofisini na vya Dining
•mazuria na carpet
•Madirisha
•Kufua mapazia.
•Kusafisha vyoo na bafu.
•Tiles zilizofubaa
•Masink yaliyofubaa
•Majiko ya gesi na umeme
Nk
 
Tunaendelea kutoa huduma za usafi majumbani na maofisini. ⁣

Leo tulikua tunasafisha Sofa za vitambaa(fabric)⁣

Hata wewe pia unaweza kufanya booking ya kufanyiwa usafi nyumbani/ofisini kwako.⁣

Tunasafisha:⁣
•Sofa aina zote⁣
•Viti vya ofisini na vya Dining ⁣
•mazuria na carpet ⁣
•Madirisha ⁣
•Kufua mapazia.⁣
•Kusafisha vyoo na bafu.⁣
•Tiles zilizofubaa ⁣
•Masink ⁣
•Usafi wa nyumba/ofisi mpya kama unataka kuhamia⁣

Unaweza kufanya booking kwa kupiga simu au WhatsApp 0758668707⁣

Pia unaweza kununua dawa kutoka kwetu na tunakupa maelekezo namna ya kuzitumia na ukasafisha mwenyewe.⁣

Dawa zetu ni ⁣
SUPER CLEANER ⁣
inatumika kusafisha Tiles zilizofubaa na masink⁣

SOFA CLEANER ⁣
inatumika kusafisha Sofa, mazuria, viti nk⁣

Unaweza kuweka Oda yako kwa kupiga simu au WhatsApp 0758668707⁣

Free Delivery ⁣
Tunakuletea mzigo wako hadi nyumbani kwako buree⁣
IMG_20200916_162710_548.jpg
 
Back
Top Bottom