ποΈπ₯ KIPPAYA CONSTRUCTION β UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! π₯ποΈ
Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! ππΎπ
π¨ Huduma Zetu:
β
Finishing & Decorations β Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu β¨
β
Plasta β Ukuta wako unapata uimara na mwonekano bora π
β
Kuweka Tiles β Kazi safi, nadhifu na ya kudumu π’
β
PVC & Wall Paper β Muonekano wa kifahari kwa gharama nafuu π¨
β
Umeme (Electronics) β Ufungaji wa umeme salama na wa kisasa β‘
β
Aluminium β Madirisha, milango na miundo ya kisasa πͺ
β
Wall Panels & Design β Ubunifu wa kipekee kwa nyumba yako π‘
β
Plumbing β Mfumo wa maji bora kwa matumizi ya nyumbani na biashara π°
β
Epoxy Floor β Sakafu za kisasa, imara na zenye mvuto wa hali ya juu β¨
β
Kazi Safi, Uaminifu Mkubwa, Huduma ya Viwango!
π Mteja ni Mfalme β Tunakuhudumia kwa weledi na uadilifu!
π Tunapatikana Ilala, Dar es Salaam β Tunakufikia popote Tanzania na hata nje ya nchi!
π Piga Simu Sasa: 0711412841
π² Instagram, Facebook & TikTok: kippaya construction ltd
π₯ KIPPAYA CONSTRUCTION β Ujenzi wa Kisasa, Ubora wa Kudumu! π₯
πͺπ¦Ίπ¨βοΈπͺπ¦Ί
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro
πͺπ¦Ί Shebwa Masonry Contractor πͺπ¦Ί
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.
Kwa Nini Utuchague?
πͺ. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
πͺ. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
πͺ. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
πͺ. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango
Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
π¨.
Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.
βοΈ.
Uwekaji wa Paa (Roofing):
π¨.
Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)
βοΈ.
Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.
π¨.
Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.
βοΈ.
Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.
π¨.
Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:
βοΈ.
Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.
π¨.
Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:
βοΈ.
Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin
π¨.
Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma
βοΈ.
Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.
Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.ππ»ππ»ππ»ππ»