Nazi Nakaranga
Member
- Oct 12, 2019
- 28
- 15
Kufuatia kufikia malengo watanzania nchini kuwa na Vitambulisho vya Taifa, tukizingatia haya maONYO tunayopewa na mitandao ya simu kuwa ifikapo tarehe 31/12/2019 laini zote zitafungwa.hizi changamoto kwenye baadhi ya maeneo watu kushindwa kupata kitambulisho, wengine wanaambiwa ni baada ya miezi 5, kwa sasa kila ukifanyacho kinahitaji kitambulisho. Je kupewa namba tu ndio suluhisho? Nini kifanyake