Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 159
- 353
Walifanyiwa ambushHv unavamiage kambi na kuua askar 12 na mageruh kadhaa hv woote ni wa Tanzania??!...wanajeshi wanatakiwa kuwa tayar kwa lolote sasa wao walikaa tu au hawana bunduk ....au training mbovu...kuna maswal ya kujiuliza ....na kuhoji...by da way mungu ibarik tz....na tukalipe kisasi kwa waliofanya huu unyama
Hata mimi hua najiuliza kama nchi tunafaidikaje?!Askari wa Tanzania waliouawa DRC na majeruhi waongezeka.
Idadi ya walinda amani wa Tanzania waliouawa kwenye jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, imeongezeka na kufikia 15 na majeruhi ni 53. Awali idadi ilikuwa vifo 12 na majeruhi zaidi ya 40.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mauaji hayo dhidi ya walinda amani hao waliokuwa katika kikosi cha kujibu mashambulizi cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO.
Katika tamko lao lililosomwa na Japan ambayo inasimamia Baraza hilo kwa mwezi wa Disemba, wajumbe wameeleza masikitiko yao kufuatia vifo hivyo, wakisema mashambulio hayo ni uchochezi dhidi ya walinda amani.
(Pichani: Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakiwa kikaoni).
[HASHTAG]#HabarizaUN[/HASHTAG] [HASHTAG]#Majonzi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#DRC[/HASHTAG] [HASHTAG]#UNNewskiswahili[/HASHTAG] [HASHTAG]#MONUSCO[/HASHTAG]
bangi ulianza kuvutia chooni.umesha kwenda nchi zenye machafuko.au na wewe una smartphone una commentHivi Tanzania kuna amani au uoga?
Tatizo ni kwamba wanajeshi wapiganaji hawana uamuzi wa kukataa amri. Mtoa amri ndo anayeweza kuondoa vikosi vyake ila Mataifa yanayonufaika na hizi vita yanatoa hela kwa mataifa ili yakapigane. Wao wanatoa pesa sisi tunatoa uhai.hizi mishe za congo wajeda achaneni nazo na pia ndoto za kusema nikirudi nakuwa million kadhaa, tunza mshahara wako na uupangilie
Hukosi mojawapo/yote katika hayaHv unavamiage kambi na kuua askar 12 na mageruh kadhaa hv woote ni wa Tanzania??!...wanajeshi wanatakiwa kuwa tayar kwa lolote sasa wao walikaa tu au hawana bunduk ....au training mbovu...kuna maswal ya kujiuliza ....na kuhoji...by da way mungu ibarik tz....na tukalipe kisasi kwa waliofanya huu unyama
Ni makubaliano ya kimataifa .Wanalinda Amani Nadhana kuna kupata uzoefu pia kuna Haja ya kuweka nguvu Za ziada hilo ndilo la Msingi Askari 12 Ni wengi sana hata km Angelikuwa ni 1 Mungu Awa Rehemurudisheni askari wetu walinde mipaka yetu
Kuna mbinu inaitwa "ambush". Hutumika kumvamia adui akiwa hana uwezo wa kujibu mapigo. Hicho kitendo hufanyika haraka sana na kwa muda mfupi.Hv unavamiage kambi na kuua askar 12 na mageruh kadhaa hv woote ni wa Tanzania??!...wanajeshi wanatakiwa kuwa tayar kwa lolote sasa wao walikaa tu au hawana bunduk ....au training mbovu...kuna maswal ya kujiuliza ....na kuhoji...by da way mungu ibarik tz....na tukalipe kisasi kwa waliofanya huu unyama