Asante ndugu,karibu sana kwa course uitakayo...tunaunganisha mawazo yote ya shuleni na ya kazini.!!! We put a knowledge you learned at school in practical way.Walimu wetu ni watu waliosoma na wanafanyia kazi wanayokufundisha kwenye ulimwengu halisia. Na ukisoma kwetu ukaonekana mzuri ...huwezi jua,waajili wengi huwa wanatuomba wanafunzi wanaofanya vizuri waweza kuwa wewe ikitokea!! karibu sana;Nzuru lakin kwatuliomaliza chuo tupo kitaa ...ña computer skills very partial..mnatusaidiaje
Asante sana ndugu Kiintaneti,Bei tumeiangalia kwa mapana makubwa sana,hakika ni ndogo kwa kile unachokipata.Nakusihi njoo utakubaliana na mimi baada ya hii kozi. Tuwasiliane kwa maelekezo zaidi. 0717 718 519....karibu sanaNi nzur saana ila ela yake kidogo iko juu
Shukrani sana ndugu, hii training itafanyika pia Mbeya, Mwanza, Arusha & Dodoma...mda husika tutawajulisha. Tuwasiliane kama upo maeneo hayo au jirani nayo. Tuwasiliane: 0717 718 519 , au tembelea: www.comskills.co.tz Karibu sana.Njooni na mikoani pia!
Asante sana ndugu Chiller, karibu sana na tuongeze ujuzi na kufanya kazi zetu kuwa nyepesi zaidi na zaidi na kuongeza ufanisi pia na kuthaminika kazini.Safi kwa kutupatia ujuzi
Asante sana ndugu kwa kutuchagua sisi,hilo linawezekana sana mana tunafanya pia tailor made kwa kampuni ndogo, za kati na kubwa kwa mambo ya ICT. Bei zetu ni ndogo mno ila thaman ya muda na pesa itaonekana. Tuwasiliane ili taratibu nyingine ziendelee.Mkuu mnaweza toa training kwenye department yetu hr ofisini? Na huwa inagharimu tsh ngapi?