Tunaendelea, Tumesimama au Tunarudi nyuma kama Taifa

True legacy

Member
Dec 16, 2016
76
43
Tunaendelea, Tumesimama au tunarudi nyuma kama taifa.
Nimefuatilia trend ya siasa za Tanzania toka mwaka 2005 mpaka sasa, nimeona watu wachache wanaona nchi ni zaidi ya vyama. Wengi ni mashabiki Na wanafiki wakubwa, wanatenda Kwa ajiri yao Na vyama vyao Na dhahiri kipindi chote hicho Na viongozi wake wote wamefanya mambo Fulani manzuri ambayo nchi nyingi Na viongozi wengi dunuia hufanya kama vile kuboresha miundo mbinu ya maji,Umeme,afya,elimu nk. Mambo hayo yanatimizwa Na kila kiogozi yoyote duniani. Ili tuseme tunapiga hatua ni Lazima life standard ibadilike Na ilingane na nchi zilizoendelea Kwa hiyo mpaka sasa bado kama hatuna cha kujivunia maana hatujaweza kupambana Na kuwashida washidani wetu. Kwa maana rahisi tunafanya vitu vya kawaida yaani obviously. Nini nakata kusema tuwe Wa kweli Na tuwe focused, for basic issue that make us big. maana kuna kipindi unaona hata tusingekuwa Na wabunge mambo yangeenda, maana wanafanya vitu vile vya kila siku Kwa ajiri ya mikakati ya vyama Na washagiliaji wake.
 
Back
Top Bottom