Tunaenda tukiwa washindi hatuendi kushindana

activisty

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
315
Reaction score
107
Uvumilivu una mwisho wake.tumewapa kazi zaidi ya miaka 50 sasa, kila uchaguzi ukifika tofauti tunayoiona ni rais kumaliza mda wake kwa kutuongezea vile vikwazo vya maendeleo toka vitatu alivoviacha mwalimu. Sasa ni ujinga,maradhi, umasikini, rushwa, ufisadi, njama, hila, unafiki, tamaa, uchawi na mabavu katika uongozi.

Shkamoo mzee wa kila kitu free , shkamoo mzee wa malofa, shkamoo mzee mambo ya pwani.

Mlifanya kazi lakini si toshelezi hata kidogo...mlikua na nafasi ya kufanya zaidi.

Mmetengeneza na kutuachia serikali dhoofu zaidi kuwai kutokea kwa takribani miaka 30 mliyofanya kazi.

Sasa kisayansi na kiutaalamu mmetutengenezea wapinzani ushindi kwani kila sehemu tunayogusa mliwaumiza raia.na kwa kushindwa kwenu kutatua matatizo ya wananchi kwa miaka yote hiyo, mnatufanya tuende kwenye uchaguzi tukiwa washindi na hatuendi kushindana.

By mpinzani huru
 
Umesahau moja muhimu... Usultani wa kutawala. yaani wanarithishana vyeo tu...
Tayari tumeshinda wapinzani
 
Tulikuwa tunatoka kwenye vita

Rwanda wamepigana vipi hali yao kwa sasa?
Angola wamepigana vipi hali yao kwa sasa?
Msumbiji wamepigana vipi hali yao kwa sasa?
Vietnam wamepigana vipi hali yao kwa sasa?

Usitake kuwaaminisha watu ujinga unaweza kutuambia gharama zipi tulitumia kwenye vita? Je kama tulikopa je hayo madeni yalilipwa lini na kiongozi wa awamu ipi? Tatizo ni CCM kutozingatia juhudi za kuliendeleza Taifa wamesimamia juhudi za kuendeleza familia na koo zao ndio maana wamelifikisha taifa hapa lilipo.
 
Umesahau moja muhimu... Usultani wa kutawala. yaani wanarithishana vyeo tu...
Tayari tumeshinda wapinzani

Asante mkuu kwa kunikumbusha.ukijaribu pitia historia, majina ya viongozi wa zamani na wa sasa ni wale wale.koo zile zile ndani ya ccm na bado wanarithishana hadi sasa
 
Rwanda wamepigana vipi hali yao kwa sasa?
Angola wamepigana vipi hali yao kwa sasa?
Msumbiji wamepigana vipi hali yao kwa sasa?
Vietnam wamepigana vipi hali yao kwa sasa?

Usitake kuwaaminisha watu ujinga unaweza kutuambia gharama zipi tulitumia kwenye vita? Je kama tulikopa je hayo madeni yalilipwa lini na kiongozi wa awamu ipi? Tatizo ni CCM kutozingatia juhudi za kuliendeleza Taifa wamesimamia juhudi za kuendeleza familia na koo zao ndio maana wamelifikisha taifa hapa lilipo.

Umenena vyema.ile vita haiwapi hata chembe ya hoja moja ya kujitetea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom