nyamayao mpenzi unajua kuna kitu kimoja. Mwanaume akishadevelop love kwa mtu mwingine wewe unabakia lidudu kwake, huna thamani tena na hata akiambiwa akuuwe anaweza kwa kuwa unamzibia kufaidi kule anakodhani anafaidi kuliko- so mtu huyu anakuwa amedevelop roho ya kishetani na atakuwa tayari kukufanyia lolote akumalize au akuumize
Chukulia mfano mdogo tu- mmegombana na mr mnaitwa vikaoni, kwa mwanaume ni rahisi kutengeneza uongo (kama mke hana kosa) ili mradi aonekane yeye ni safi kuliko wewe. tuna roho za tofauti mpenzi wangu
So sishangai kwa huyo mwanaume kuwa mnyama yaani lengo lake lilikuwa kumkomoa tu sis wetu.
Ndo upuuzi nsotaka kuusikia mimi- umenikosea tunamalizana wenyewe kama ni kutambaa kila mmoja anaanza kwa upande wake watoto inajulikana ni wangu hadi hapo watakapotimiza usmri wa kuwa naye kisheria.sawa kabisa, hii ndoa ilikuwa inayumba sana toka muda mrefu, ishu ikitokea sis anakimbialia kwa mamkwe wake, mr akija wanasuluhishwa ki juu juu hapo wanaendelea na lyfe la kuyumba yumba hivyo hivyo, nilikuwa namwambia hivi unavyokimbilia kwa mamkwe unategemea utapata suluhu la kumaliza mgogoro wako?...."mtoto kwa mamaye jamani"
Sasa Nyamayao ulimwambia sis wako alicho fanya ni kitu cha kijinga kulipiza baya kwa ubaya. Sasa kamegwa nini alicho pata si angejinyamazia aendelee na mikakati ya kumrudisha mme ndani ya ndoa.!!
na kamkomesha ipasavyo, yaani cwez kuielezea hali halic aliyonayo sasa hivi, cwez....
[/COLOR]
fidel nimeshindwa kuongea nae lolote kwa jinc anavyolia tu nahic nikimchomekea ushauri nitamchanganya kabisa, mama alivyokuja ndio alikuwa anaongeaa nae na kumpooza na alimwambia ukweli kwamba umefanya kosa lakini na yeye hakustahili kukufanyia haya, kwahivyo hii ndoa nitaivunja kwa gharama yoyote ile.
Ndo upuuzi nsotaka kuusikia mimi- umenikosea tunamalizana wenyewe kama ni kutambaa kila mmoja anaanza kwa upande wake watoto inajulikana ni wangu hadi hapo watakapotimiza usmri wa kuwa naye kisheria.
hao akina mamamkwe, washenga wazee wanapewa tu taarifa kuwa kwa sasa imekuwa hivi na hivi. Tukipatana wanajulishwa full stop
pole dada, ndo ukubwa huo i guess. with time her herat will be healed na ataamua cha kufanya.hapa ninavyokuambia sis na mamake wapo njiani wanaenda dar kwa mzee, mzee nae anasema hii ndoa itavunjwa kwa gharama/nguvu zozote zile, kuanzia juzi mie naona kama ni aki na ukwa vile....kweli kuwa uyaone nimeyaona ya kunitosha mpaka nahic kuzeeka kabla ya umri.
nyamayao- ila huyo shemeji yako kwa kweli ni kama jamii ya shemeji manyoyaa ah- unyama gani huo hivi hata watu wakisikia alichomfanyia mwenzie si ataonekana kituko?
Kama angekuwa mstaarabu alitakiwa akashtaki kwa wazee kuwa mkewe anacheat na si kumfanyia hayo aliyofanya
inategemea!tunaweza kuwa tunaelekea nyumaπNi vyema umeuliza tunaelekea wapi ..mie sikuoni mbele.............
nyamayao- ila huyo shemeji yako kwa kweli ni kama jamii ya shemeji manyoyaa ah- unyama gani huo hivi hata watu wakisikia alichomfanyia mwenzie si ataonekana kituko?
Kama angekuwa mstaarabu alitakiwa akashtaki kwa wazee kuwa mkewe anacheat na si kumfanyia hayo aliyofanya
mr alimcal akamwambia yaani ktk kitu kilichokuharibia uanaume wako ndio hiki, akamwambia ilikuwa ni "hacra tu bro"...
misezi wako ni yupi?πNdo hapo yani nasema am puzzled kwa kweli!
yaani hii kitu iko very complicated!
kwanza limjamaa likapata kablandina-kabikra, kaportable....akamtumia kumuinsult mkewe...hivi swali hapa kwani walivofunga ndoa alishikiwa miguuni kuwa ni lazima amwoe? si alikuwa anajua kuwa ameshakuwa na mwanaume mwingine before? inauma sana I know kwa upande wa wanawake.
Pili, limjamaa likasitisha na huduma tena..sasa si bora yule wa kule HY aliyekuwa anatoa kila kitu sawa jamani.....gari, simu, sijui hadi nyumba ramani sawa akidai kuwa anawapenda wote sawa (Hapa MJ1 Inahusu)..so akaadd salt kwenye kidonda..kwa miezi 9.
tatu bibiye naye kuona hivi akaREVENGE (kosa) kwa kuwa na kaserengeti boy..sijui for how long, lakini pia akawa 'mzembe' hadi akafumaniwa /mumewe akajua na yeye. Amini usiamini hakuna mwanaume anayekubali mali zake ziliwe kwa sababu yeyote ile hata kama hakutimizii! so jamaa lazima roho ilimuuma ndo akaarange mtego
nne, sasa hapo ndo kazi, jamaa sijui wivu ama nini, kumbandua vile bila ridhaa yake tena wakiwa kwenye hali mbaya kimahusiano ina translate into a very bad rape, tena sijui niiteje wajameni..hapo janaume na lenyewe limeharibu kabisa kabisa. kwa nini asingemwambia 'basi yatosha, nimeshajua kila kitu kila mtu na maisha yake sasa' kisha aendelee na kablandina kake
Ndo maana nasema jamani hapa naungana na Mrs wangu kuwa unaanzia wapi kumshauri? its just too complicated!
nilitaka nikukutanishe na MSHIKI....nimeghairiπHacra My foot!
Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza
Ndo hapo yani nasema am puzzled kwa kweli!