Habar wakubwa
Binafsi mimi ni shabiki mkubwa sana wa hzi nyimbo za magharibi lakni leo kilichonishtua na kunishangaza ni huyu mwana dada anayejulkana kwa jina la CARD B kutoa wimbo unaitwa PRESS hapo jana akiwa anacheza uchi wa mnyama,Kwa hali hii itabdi nirud kwenye gospel