Tunaelekea town

Tunaelekea town

13679_1532218100374082_7933557588493546432_n.jpg
 
sijui toleo gani la fiat hili
 
Ila ktk hili ni kumtafuta Muumba lawama ajali ikitokea atapona mtu kweli
Hapo kupona labda tu itokee.

Na kuna asilimia kubwa ya wachache watakaopona ila lazima watapoteza viungo vyao, nina uhakika wengi wao watapoteza maisha.

Tahadhari kabla ya hatari
 
Back
Top Bottom