Tunaelekea Rombo kikazi

Huko mtakutana na kimorari,banana,machozi ya simba na kitu ng'ada ni pombe mwazo mwisho.
 
On may way to Rombooo.

ngoja tukawasaidie..Ninyi bakini kariakoo tuu
 
Mphamvu;

ha ha ha ha ha nadhani zile za kwanza kuvaliwa zishavuliwa tayari!
 
Last edited by a moderator:
sisi tumetokea arusha tuko tisa na noah. tunakula hapa mtoni then tunakuja.. gari letu lina bango mbele tumeandika mbegu mpya kutoka arusha ...wenyeji tupokeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…