Tunachonga funguo,Mihuri express

ishobo

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
16
Reaction score
10
Wadau,
Napata woga na hii mihuri inayochongwa ovyo mtaani. Hivi jeshi la polisi halioni harufu ya uhalifu kwenye hili,mihuri ya bank mashirika ya umma na serikali inapatikana hovyohovyo tu.!!! INATISHA HII.

,vijiwe vya kuchonga funguo navyo vinazodi kuongezeka tu na wanausalama wakobize na siasa tu.
HUU NI UTAAHIRA MWINGINE UNAOPATIKANA TANZANIA PEKEE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…