naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Nov 19, 2014 #2 hujapata tu jina lako mkuu? kwani umekuja na majina mangapi? tupishe basi na sisi tumechoka kusimama, kama vipi niangalizie na langu tafadhali
hujapata tu jina lako mkuu? kwani umekuja na majina mangapi? tupishe basi na sisi tumechoka kusimama, kama vipi niangalizie na langu tafadhali
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 19, 2014 #3 Duu mi naona huyo antiy angerudi tena baadaye maana hapo huwa wanafanyea makusudi ili wapate kufahamiana na hapo tena namba za simu nasiyo tena ya intarnet
Duu mi naona huyo antiy angerudi tena baadaye maana hapo huwa wanafanyea makusudi ili wapate kufahamiana na hapo tena namba za simu nasiyo tena ya intarnet