Tunaangalia elimu na sio pesa sawaa!

ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia
 
Uyo sidanganyiki yuko sahihi kwani katoa jbu la level na ujuaji wake.Ila kwa kina Lara 1,Ichana et al jibu ni pesaaaa.Shilingi yaua oooh tena mauaaa...
 
Huyo denti yuko sahihi kwa hadhi yake ya uanafunzi. Atamshikilia mvulana anayekimbiza darasani ili naye apate kufundishwa/kusoma naye. Nampa tano.
 
Mkuu hii kauli kweli ni juice
 
Watu stndrd seven,, form 4 wana hela chafu wanahonga semi kama hawana akili nzuri leo nikae nakagua vyeti sijui gpa vitanilisha mie,,, au vitaongeza mtaji wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naangalia franga mahela tu hapa.

don be weak gal! Tafta zakooo!!!
 
elimu ipatkane kuondoa ujinga bana hela muhmu utakula vyeti unapga madesa had uzeen ndo unaanza kutafta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…