Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Watanzania tumekuwa tunahubiriwa na viongozi wa CCM kuwa mafisadi wapo vyama vya upinzani. Kwa maana kuwa CCM ni Wasafi sana.Mungu ni wa wote tunamshukuru ametuonyesha kuwa Ufisadi chimbuko lake ni CCM.
Mwenyekiti wa wazazi mkoa wa Mwanza Amekomba Bilioni 18.9 pekee yake huku akiwaacha wapiga kura na wananchi wa Mwanza wakiwa maskini hiyo ndio CCM mpya.
Mwenyekiti wa wazazi mkoa wa Mwanza Amekomba Bilioni 18.9 pekee yake huku akiwaacha wapiga kura na wananchi wa Mwanza wakiwa maskini hiyo ndio CCM mpya.