Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
Tunaweza kukubali kwamba kweli, kuanzia leo Mbunge lazima aingia "based on merit" , kwa kura tu, na ikawa kwenye katiba.pigeni hesabu kila mbunge mmoja ana tu cost kiasi gani na natumaini katiba mpya itaondoa huu upuuzi
Kila mbunge aingie bungeni based on merit ya kuingia mle (kwa kuteuliwa kuingia mle na si kwa sababu ni mlemavu au mwanamke au anajuana na mtu)
Tunaweza kukubali kwamba kweli, kuanzia leo Mbunge lazima aingia "based on merit" , kwa kura tu, na ikawa kwenye katiba.
Halafu tukasema, sasa tunataka kusogeza mamlaka ya maamuzi karibu na watu, na huduma za jamii karibu na wananchi, hasa kwenye misongamano, tukaunda majimbo ya uchaguzi ya Kariakoo Mashariki na Kariakoo Magharibi, pamoja na Manzese Kaskazini na Manzese Kusini, na majimbo ya Buguruni kwa Mfuga Mbwa na Buguruni kwa Mfuga Mamba . Dar kukawa na wabunge 18 na wote wamepigiwa kura.
Utakuwa umetatua tatizo la kuingia bungeni "based on merit."
Au?
Lack of principle gani?Good lord. The lack of principle here is breath taking.
Lack of principle gani?
Umetueleza tatizo lako ni wabunge ambao hawajaingia kwa kupigiwa kura, mimi nimekuunga mkono, nikasema kweli kabisa na wafutwe, halafu baada ya hapo, wawaundie majimbo mapya ya Mabwepande Mashariki na Mabwepande Magharibi, Kijichi Kaskazini na Kijichi Kusini, mpaka Dar iwe na wabunge 20, lakini wote wameingia kwa kura.
Utakuwa umetatua tatizo lako la wabunge ambao hawaingii "based on merit."
Au?
sasa CHADEMA mnakubali huu upuuzi wa watu kuteuliwa?
pigeni hesabu kila mbunge mmoja ana tu cost kiasi gani na natumaini katiba mpya itaondoa huu upuuzi
Kila mbunge aingie bungeni based on merit ya kuingia mle (kwa kuteuliwa kuingia mle na si kwa sababu ni mlemavu au mwanamke au anajuana na mtu)
Natumai hawa wanasiasa wetu pamoja na WAPINZANI wataunga mkono hoja ya kuondoa huu upuuzi
Tatizo lako una hope na hoax
Chadema do you really beieve them? do you think they are serious?
Whom do you think can take serious policy issues from chadema
a. Is it Mbowe (biashara aache kwa nani?), hivi huo uwezo anao kiakili?
b. Is it Zitto (Madaraka aache kwa nani?
c. Is it Lissu (aliyesema sijawa mbunge ili niwe maskini?)
Think
Your pragmatic arguments are less than compelling.Sijaelewa umetumia vigezo vipi kupata hiyo idadi ya 150. Maana nasikia viti maalumu ni 103,mpaka sasa wa kuteuliwa na Rais ni 7 kama siyo 8,sifahamu idadi ya wanaowakilisha BLW Zanzibar ni wangapi na unaongeza AG! Kuna utitiri wa wabunge toka Zanzibar ambao idadi ya wapiga kura wao wanazidiwa na vitongoji huku bara. Wengi wa hawa wapo bungeni kuzomea na kugonga meza wakishirikiana na wabunge wa Tanganyika toka majimbo masikini zaidi huko kusini,pwani na kati!